Tatizo tunakumbatia wazee wenye akili za kijamaa bado. Wazee huwa wako conservative...sisi tunafanya hiv..ndo wamejaa hadi CCM huko
Bado wazee wengi Tanzania hawajaingia free economy bado. Dunia ya sasa hakuna kuhurumiana wala kuchekana. Tanzania ni nchi kubwa sana. Mabus yanaweza anzia Dodoma wakitaka. Wanaweza omba hata wapark pale mbele Dodoma stesheni kwa muda kuchukua abiria wa mikoa mbalimbali.
Kimsingi ili Tanzania tuendelee tunaitaji mtu mchangamfu anayejua Dunia ya sasa ikoje sio wanaokumbatia sera za mwalimu.
Hii SGR ya Dodoma to Isaka mbona wako kimya sana... hakuna kinachoendelea?
Mama mwenyew aongelei hii? Nilitegemea akitoka pale Dodoma kwenye ufunguzi aende akague SGR ya kuelekea Isaka na atoe maelekezo... maana mkataba waliosaini unakaribia kuisha sasa.