Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nishawai post humu picha yangu nikiwa China. Wenye waliiona waliiona. Ukitaka nyengine nitapost tu kwani Iko Nini. Huyu hapa Mimi nikizuru mbuga za wanyama za Tsavo na Amboseli. Hiyo Camera uionayo inaitwa Sony A71V. Lens yake ni
Sony FE 24-105mm f/4 G OSS. Bei yake imeshinda mshahara wako wa mwaka mmoja and that is kama una mshahara at all sababu numemsikia Teargas mara nyingi akisema unamtegemea demu Fulani hapo Tandale. Hiyo camera nikiinunua ilikuwa shilingi 400k za Kenya, sijui sahii imefika ngapi. Lens niliinunua na 200k za Kenya. Unaweza ukaangilia Bei zake mtandaoni kwa Sasa. Wewe endelea kukaa hapo Tandale ukijilinganisha na watu ambayo lunch yao itakulisha mwezi mzima.

View attachment 3063596
Sasa kama wewe ni huyu then what makes you think you are any better than I.? 😂😂😂
 
Nishawai post humu picha yangu nikiwa China. Wenye waliiona waliiona. Ukitaka nyengine nitapost tu kwani Iko Nini. Huyu hapa Mimi nikizuru mbuga za wanyama za Tsavo na Amboseli. Hiyo Camera uionayo inaitwa Sony A71V. Lens yake ni
Sony FE 24-105mm f/4 G OSS. Bei yake imeshinda mshahara wako wa mwaka mmoja and that is kama una mshahara at all sababu numemsikia Teargas mara nyingi akisema unamtegemea demu Fulani hapo Tandale. Hiyo camera nikiinunua ilikuwa shilingi 400k za Kenya, sijui sahii imefika ngapi. Lens niliinunua na 200k za Kenya. Unaweza ukaangilia Bei zake mtandaoni kwa Sasa. Wewe endelea kukaa hapo Tandale ukijilinganisha na watu ambayo lunch yao itakulisha mwezi mzima.

View attachment 3063596
Yani una brag bei ya camera.? 😂😂😂😂😂. Aisee.
 
😂😂😂😂 kwahiyo unanijua kumbe.? 😂😂😂😂. Dah.!!
Kwani nani hakujui? Unalishwa na msichana wa watu, huna kitanda, unakula kwa vibanda. Na ukikula smocha unapost huku? Wewe nani hakujui? Mapua yako ni kubwa, midomo ni pana na kubwa pia, maskio kubwa. Hivi nani hakujui hapa JF?

To summarize it you are the poorest member here.
 
Kila kona watu wanaiongelea Tanzania. Firstpost from India wameupiga mwing

View: https://youtu.be/vwy9QvLtwyM?si=J12sDD_2CzMlPl-H

Thanks for this post. When I told you that your trains are using two heads to pull the coaches mliniita wazimu. It’s good you are now exposing yourselves😂😂🤣🤣👇👇👇

IMG_0451.jpeg
 
Kwanini all A380 huwa diverted to JNIA na sio JKIA?
Mbona watanzania ni wajinga hivi? Hii mambo ya incase of emergency planes land in nearby airports Kwani nyinyi hamuelewi?

That A380 plane landed in JNIA because if distance.
 
Thanks for this post. When I told you that your trains are using two heads to pull the coaches mliniita wazimu. It’s good you are now exposing yourselves😂😂🤣🤣👇👇👇

View attachment 3063650
So hapo umeona inatumia two locomotives? Usilazimishe vitu ambavyo havipo. Hapo ni packing and Marshalling. Do you know how tren exchange locomotives?

Ushamba wako Peleka Kibera
 
Tatizo lako wewe hunaga akili hata moja, wivu wa kimaendeleo umekushika mpaka unakuwa mpuuzi, huo ni mji mpya nyumba nyingi hapo hazina hata 4 years, usifananishe na mji mkongwe na wakizamani kama Karen, alafu nmekusikia ukisema hakuna lami, haya ni mata.ko yako haya 👇👇View attachment 3063551
Barabara za lami zinatafutwa kwa torch😂😂🤣🤣.

Yani ni lazima uzoom picture hadi ikuwe blur ndio uweze kuona barabara za lami of which ni moja pekee🤣🤣😂
 
Hao wapenda sifa za kijinga achana naye, mana atakutafutia picha za uongo akajifanya sura anaziba chini anaandika nipo US, haya hapo utafanyaje, achana naye ajiliwaze, ndiyo wapo hivyo wasenge hawa.
Watchman siku hizi hapendi mambo za kupost pictures. Tangu ajaribu hadi tukagundua yeye ni watchman aliachana na kuambiana watu wapost picha kabisa😂😂🤣🤣
 
Nishawai post humu picha yangu nikiwa China. Wenye waliiona waliiona. Ukitaka nyengine nitapost tu kwani Iko Nini. Huyu hapa Mimi nikizuru mbuga za wanyama za Tsavo na Amboseli. Hiyo Camera uionayo inaitwa Sony A71V. Lens yake ni
Sony FE 24-105mm f/4 G OSS. Bei yake imeshinda mshahara wako wa mwaka mmoja and that is kama una mshahara at all sababu numemsikia Teargas mara nyingi akisema unamtegemea demu Fulani hapo Tandale. Hiyo camera nikiinunua ilikuwa shilingi 400k za Kenya, sijui sahii imefika ngapi. Lens niliinunua na 200k za Kenya. Unaweza ukaangilia Bei zake mtandaoni kwa Sasa. Wewe endelea kukaa hapo Tandale ukijilinganisha na watu ambayo lunch yao itakulisha mwezi mzima.

View attachment 3063596
Umeamua kufukuza Huyo fukara. Wewe Ukipost Camera za 400k yeye atakuwa anapost viatu vya 350 bob.
 
Back
Top Bottom