Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Tangu uzaliwe pesa ushaishika maishani mwako inaezafikia Ksh400k zikiunganishwa?Yani una brag bei ya camera.? ๐๐๐๐๐. Aisee.
Tangu uzaliwe pesa ushaishika maishani mwako inaezafikia Ksh400k zikiunganishwa?Yani una brag bei ya camera.? ๐๐๐๐๐. Aisee.
Huyo dogo muacheni sasa imetosha, kama tu jezi ya yanga anasema ni bei ghali na inauzwa 2k ๐๐๐๐Umeamua kufukuza Huyo fukara. Wewe Ukipost Camera za 400k yeye atakuwa anapost viatu vya 350 bob.
Dah umeandika kwa uchungu mno, mwenzako watchman alikukanya hukuskia ๐๐๐Sasa kama wewe ni huyu then what makes you think you are any better than I.? ๐๐๐
Ameenda kujigroup ๐๐๐คฃDah umeandika kwa uchungu mno, mwenzako watchman alikukanya hukuskia ๐๐๐
Kwani nani hakujui? Unalishwa na msichana wa watu, huna kitanda, unakula kwa vibanda. Na ukikula smocha unapost huku? Wewe nani hakujui? Mapua yako ni kubwa, midomo ni pana na kubwa pia, maskio kubwa. Hivi nani hakujui hapa JF?
To summarize it you are the poorest member here.
Obviously amekushinda ๐คฃ๐คฃ๐๐
Mbona umeni quote mara nyingi hivi.? ๐๐๐๐ umekasirika.?Tangu uzaliwe pesa ushaishika maishani mwako inaezafikia Ksh400k zikiunganishwa
Hata na wewe maskini wa mombasa unapanua mdomo.? Mzee wa kula bata Arusha .?Dah umeandika kwa uchungu mno, mwenzako watchman alikukanya hukuskia ๐๐๐
Kwani hutaki nikuquote? Fukara hii๐๐๐คฃ๐คฃ.Mbona umeni quote mara nyingi hivi.? ๐๐๐๐ umekasirika.?
Unatoa wapi nguvu ya kuita mtu maskini mzee wa viatu vya 500 ๐๐Hata na wewe maskini wa mombasa unapanua mdomo.? Mzee wa kula bata Arusha .?
Sasa wewe kinyangarika mmoja uliyebrag na shawarma ya KES 100 leo hii ujifanye Camera ya KES 600K sii kitu kwako? Unaijua 600k wewe? Kwa pesa ya madafu hiyo ni Tshs. 12,500,000. Pesa kama hizo nina uhakika hata kwota yake hujawaishika kwa wakati mmoja.Yani una brag bei ya camera.? ๐๐๐๐๐. Aisee.
Shawarma kitu gani? Hile ilikuwa smocha.Sasa wewe kinyangarika mmoja uliyebrag na shawarma ya KES 100
Ebu nitumie ile picha yake ya kishamba nataka niseme kitu. ๐คฃ ๐คฃShawarma kitu gani? Hile ilikuwa smocha.
Gani? Hile anakula kwa kibanda ama yenye amekalia kitanda?๐๐Ebu nitumie ile picha yake ya kishamba nataka niseme kitu. ๐คฃ ๐คฃ
Kumbe wanapiga kelele hapa na wanakula mkate za Kenya๐๐๐คฃ๐คฃ
View: https://x.com/Kiganyi_/status/1821085527510041024
Yoyote tu, zote zimechapa the same design. ๐คฃ ๐คฃGani hile anakula kwa kibanda ama hile amekalia kitanda?๐๐
Acha nikupatie hii๐๐๐คฃ๐๐๐Yoyote tu, zote zimechapa the same design. ๐คฃ ๐คฃ
Alafu wananua mkate 165 while Kenya the same bread is 65 bob.Tunawalisha ๐ ๐๐