RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,438
- 135,126
Kipyegon disqualified.Olympic women 5000m Kenya 1,2 Chebet and Kipyegon. Congrats.
Kipyegon disqualified.Olympic women 5000m Kenya 1,2 Chebet and Kipyegon. Congrats.
rapping=raping. From rapeAs Kenyan police fight rebels in Haiti, Tanzanian police are rapping women in Tanzania.😂😂
Duh!! Na wewe umeanza kuwa na mawazo ya Wakenya sasa. Tunaongelea Show ya Jumamosi na Jumapili wewe unaleta hoja tofauti.
Kinachonishangaza zaidi ni kuhusu Red Arrows mnawafunga kwenye bonanza kwa figisu
Yanga ni timu ya kawaida sana. CAF wanajua hilo. Ndio maana mnaanzia kwenye initial stage.
😀 😀 😀 😀
Nenda ukatengeneze ripoti yako yenye utakubaliana nayo😂🤣Uongo huu.
Huyu jamaa amejenga nyumba katikati ya mpaka😂😂😂 👇🏾
View: https://youtu.be/bPuOKHVsc7E?si=mV10l_FYRqiVEwcZ. Watu wa mombasa nimeishi nao nawajua vizuri sana, kuanzia ushoga, venye they are lazy, maneno yao maziiiito 😂😂😂. They speaking like them singing. 😂😂😂. I know them better. By the way mdogo wangu aliolewaga huko Mombasa (dingi alilengesha connection) 😂😂 basi bwana huyo jamaa wa mombasa aliachwa becoz of his laziness.. “wazee wa maaa chapati ngumu” huwa tunawadharau sana wakifika Tanga. 😂😂😂
Usipotosheke na hao wapumbavu wa chadema 👇🏾As Kenyan police fight rebels in Haiti, Tanzanian police are rapping women in Tanzania.😂😂
View attachment 3062508
😂😂😂😂Kenya hakuna dollar billionaire vumbistan wako watatu. Wana hela swa na nusu ya wanabongolala. Na very soon wanachukua SGR kama ilivyo kwa vivuko 😂😂
Hapa kaka nakupinga,Red arrows hakufungwa kwa figisu.Duh!! Na wewe umeanza kuwa na mawazo ya Wakenya sasa. Tunaongelea Show ya Jumamosi na Jumapili wewe unaleta hoja tofauti.
Kinachonishangaza zaidi ni kuhusu Red Arrows mnawafunga kwenye bonanza kwa figisu
Yanga ni timu ya kawaida sana. CAF wanajua hilo. Ndio maana mnaanzia kwenye initial stage.
😀 😀 😀 😀
Kosa la baadhi ya askari isikufanye ukalichafua jeshi zima kijana.As Kenyan police fight rebels in Haiti, Tanzanian police are rapping women in Tanzania.😂😂
View attachment 3062508