Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni obvious hakuna biashara ya maana kwa Tanzania pekee kufanya hii project ibreakeven, lazima tupate mzigo wa DRC na ndio maana ikaelekezwa huko, ni feasibility studies za maana zilizofanywa na reputable international organizations hatimae project ikaonekana viable
Ni ujinga kuendelea kuongea na huyu boya. Anafikiri uwekezaji wa $20B na zaidi ni kama kujenga choo.
 
Kweli wakenya ni washamba, wanaleta umbea wa maisha yao ya kwenye slams.

View: https://www.youtube.com/watch?v=NewMm1ULg40

Wakunya
1722773508147.png

Meanwhile, wenye akili timamu.
1722773617251.png
 
Morogoro inaweza kuwa jiji, lkn haiwezi kugawanywa kutengeneza mkoa mwingine. Ardhi kubwa ya morogoro ni national park
Wewe ndio unasema haiwezi ila RCC ya Mkoa na hatua zote zilishapitoshwa.

Wilaya ya Mpanda ikiwa sehemu ya Rukwa imeundwa Mkoa wa Katavi ambao 75% ni Hifadhi za Serikali.

Magufuli alipunguza Hifadhi ya Katavi na mapori ya akiba na kuunda Wilaya 3 na Halmashauri 4.Na Juzi kwenye ziara ya Rais Pinda na Kamwelwe wameomba Ardhi Mpya na yatamegwa kama kawaida.

So hapo Morogoro kuna uspesho upi?

Mwisho,kuchamba kwingi utajipaka mavi.
 
Wew hujielewi.
Usipoelewa na hapa, njoo DM nikupe ada ya kwenda shule
Screenshot_20240804-153406_Chrome.jpg
Screenshot_20240804-153445_Chrome.jpg
 
Wew hujielewi.
Usipoelewa na hapa, njoo DM nikupe ada ya kwenda shule
View attachment 3061372View attachment 3061373
Iwe protected au isiwe protected sijui na UNESCO,Serikali ikiamua inamega na Hakuna awa kuzuia ndio maana mlijenga bwawa Ndani ya Hifadhi hiyo hiyo ambayo Iko protected licha ya kelele za kupinga.

On top of that kuna mgodi wa Wamarekani ndani ya Hifadhi hiyo wa Mkuju River wanafanya mining licha ya kuwa protected na mifano mingine Mingi tuu.

Nasisitiza Vikao vya RCC vimepigieha Jina la Mkoa Mpya inasubitiwa Ofisi ya Rais kufanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom