Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hajachagua, ameingizwa chaka. Mama yuko bias, hata mradi wa hospital mkubwa kapeleka huko. Idris baada ya mmuda ataelewa ni wapi mahala sahihi. Tupe hapa.

Zantel walihama Zanzibar, lazima unangalie soko wapi lipo. Sokolamovies liko Dar na ndio mahala pake.
Kwenye hilo kitu ni kama huelewi unachoongea. Kinachofanyika hapo ni kuunganisha filamu na utalii, kama Africa kusini, unajua kwa nini studio kubwa ipo Cape town na sio joburg?? Ninkwa sababu ya utalii.

Pia nineona sehemu umeongelea hospital. Zanzibar mpaka sasa, na mikakati yote iliopo, hakuna hispitali ya hadhi ya dunia. Kuwa na hospitali yenye worlds class facilities ni lazima kwa sasa ili Zanzibar iweze kupaa. Kuna fursa nyingi wanazikosa sababu hakuna facilities hapo Zanzibar. Naomba uelewe hivi vitu.
 
Ila wa bongo tuna sifa sana 😂😂 uwanja unapigwa full house Two days in a row, yaani back to back 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/C-P3C6hKRho/?igsh=MXFoNmRlODhvbjA2ag==. Simba day jana na leo Yanga day. 120k spectators. 😂😂 taifa la wapumbavu litafanya hivi labda 2050 huko mwaiofhawaii Njoo ujifunze bongo we black American wa Mchongo 😂😂😂

Halafu kuna nyang'au Teargas eti anaongelea katimu ka wajaluo kanaitwa Gormahia huko kwao😎
 
Mda utasema ,tutarudi hapa,nawapa miaka 5 baada ya Sgr kufika Burundi maana hii ya Tanzania ya ndani ya Tanzania ni hasara tuu hakuna Cha maana Cha kubeba , excuses mliyobakia nayo ni kwamba ikivuka boda ndio italeta Tija.

Tuombe uzima by 2030-2035 tutapata majibu kamili.
Mhh , inaweza ikabaki Tz na isilete hasara per se as you speak mfano , Tukiamua kujenga indsustrial parks along SGR lets say Dodoma na Singida , mizigo iwe inabebwa na SGR, pia SGR ina life span kubwa na nchi ina develop , inabidi ku targert kuwa kubdouble exports in next 10 years , hili litawezekana kwa kujenga industrial parks
 
Kwa nini roho iniume? Mimi sijawahi kubaliana na Sgr since day 1 ,tumepigwa na kupoteza hela.

a)13T za Ndege 14 ,Barabara km 9,000
b)10.5T za Sgr km 700 Barabara km 6,000

Saizi tungekuwa tunazungumzia lami takribani km 15,000 Kwa investments ya 23.5T iliyomwagwa kwenye miradi ya Maonesho, cosmetic projects.

As we speak Tanzania ingekuwa.juu ya Kundustan Kwa Uchumi ila Kwa kuwa hamna akili ya kufikiria kipi kianze na kipi kifuate na lini ndio maana mnashangilia ujinga 👇👇

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1819110185480474692?t=_qVsO48V6sF8D4m2t00mgA&s=19

Are you serious na 13 Trillion za Ndege ?
Ndege hazijacost 13 trillion
787 3 ni 750mil usd
Max 9 2 256mil usd
A220s 4 ni 320mil usd
Dash 8 5 ni 135 mil usd
767 F ni 220 mil usd
Jumla 1.68 bil usd kwa rate ya sa hizi ni 4.3trillion umeandika trillion 13 umeitolea wapi , plus mbona Goverement bado inaagiza ndege , maana mwaka huu itaagiza 737 800F , BBJ 737 , na Q400

Acha kua muongo ili kutengeza point , tengenza valid point na Data

Plus hyo SGR ikifika hyo mikoa ya huko ina reduce transit time by more than 50 percent ,huoni kama hyo ni development
 
Huyo Abdul atawasumbua kichwa achaneni naye.
 
Yanga day 💚💚💚
Screenshots_2024-08-04-17-10-33.png
Screenshots_2024-08-04-17-10-47.png
Screenshots_2024-08-04-17-11-02.png
Screenshots_2024-08-04-17-10-17.png
 
Wewe ndio unasema haiwezi ila RCC ya Mkoa na hatua zote zilishapitoshwa.

Wilaya ya Mpanda ikiwa sehemu ya Rukwa imeundwa Mkoa wa Katavi ambao 75% ni Hifadhi za Serikali.

Magufuli alipunguza Hifadhi ya Katavi na mapori ya akiba na kuunda Wilaya 3 na Halmashauri 4.Na Juzi kwenye ziara ya Rais Pinda na Kamwelwe wameomba Ardhi Mpya na yatamegwa kama kawaida.

So hapo Morogoro kuna uspesho upi?

Mwisho,kuchamba kwingi utajipaka mavi.
Huwa nakuambia kila siku usiwe unaweka takwimu ya jambo ambalo hulijui vizuri
Wakati wa magufuli ilianzishwa wilaya moja tu ya Mpimbwe, hizo unazosema tatu ni zipi? Zitaje
 
Huwa nakuambia kila siku usiwe unaweka takwimu ya jambo ambalo hulijui vizuri
Wakati wa magufuli ilianzishwa wilaya moja tu ya Mpimbwe, hizo unazosema tatu ni zipi? Zitaje
Hizo zingine zilianzishwa awamu ya JK yaani Mlele,na Mpanda Vijijini.

Magufuli alikata Hifadhi akaanzisha Mpimbwe na kubadili jina la Mpanda Rural kuwa Wilaya ya Tanganyika.
 
Hizo zingine zilianzishwa awamu ya JK yaani Mlele,na Mpanda Vijijini.

Magufuli alikata Hifadhi akaanzisha Mpimbwe na kubadili jina la Mpanda Rural kuwa Wilaya ya Tanganyika.
Unachosema sasa ni tofauti na ulichosema mwanzo, soma tena ulichoandika.
Umesema magufuli aliunda wilaya mpya tatu, Kitu ambacho sio kweli

pia hakukata hifadhi, Mpimbwe ni wilaya iliyotoka wilaya ya mlele. Wilaya ya mlele jiografia yake ilikua ngumu kwa maana kutoka mlele(inyonga) hadi majimoto, usevya na kibaoni ilikua ni mbali na pia shida ya usafiri. Ndio ikaundwa hiyo wilaya ya Mpimbwe ambayo makao makuu yakawekwa Usevya

Mwisho, nakusisitiza tena usiwe unazungumza jambo ambalo hulijui maana mara nyingi huwa unaandika takwimu na taarifa ambazo ni za uongo
 
Acha kuandika Kwa kutegemea taarifa za kuambiwa,Mimi ndio Niko huku,Mpimbwe imetoka huko Mlele na pia imekata eneo la Hifadhi ya Katavi.

Kuanzia kibaoni Hadi Mlele Junction ilikuwa Hifadhi ila Magufuli alivyokuja alitoa eneo Hilo Kwa Wananchi.

The likes ya Tanganyika DC.

Mwisho hoja ilikuwa kukata maeneo ya Hifadhi na kuanzisha makazi au maeneo maeneo ya Utawala.

Hata hiyo Nyerere NP be it imehifadhiwa au namna gani ila itakapohitajika Kwa Ajili ya kuanzisha maeneo ya Utawala ,itamegwa kama kawaida.
 
Back
Top Bottom