ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,427
- 88,516
Wewe ni ziaidi ya mbumbumbu,kwa hiyo Kwa Sasa mnavyowahi kufika Dom ndio Uchumi wa mtu wa Bahi utaimarika? Kwa hiyo reli itaondoa umaskini?Wewe sio mzima wewe πππ kwa barabara letβs say, ukitoka Dar-Mwanza kwa basi ni almost siku nzima unaitumia njiani, masaa 18 unatumia njiani, hii ni kwa basi la abiria, lory la mizigo linatembea muda gani.?
Kwa SGR treni itatumia masaa saba + kubeba mzigo mara Dufu ya mzigo ule utakaobebwa na lories kadhaa kwa cost ya chini zaidi na haraka zaidi.
Ikiwa una akili timamu hii inakwambia nini.? πππ
Unaweza niambia Kwa emkoloni hakujenga Barabara alijenga reli?
Mwisho Kwa hiyo kuwahi kufika ndio justification ya Trilioni 10 za Sgr km 700? ππππ
Usinichoshe Kwa ujinga wako bana.