Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hapo ndipo unapotafutia pa kutokea. Nimekueleza wazi kwamba Mkenya aliyeenda shule ana Kiingereza bora kuliko Mtanzania aliyeenda shule. Mkenya mwenye hakuenda shule ana Kiingereza bora kuliko Mtanzania mwenye hakuenda shule.

Hapa Kenya tunaye Khaligraph ambaye level yake ya kimasoma ni sawa na Diamond. Ushawai msikia akiongea Kiingereza? Same na Otile Brown. Ndio maana nikakuelezea Mkenya na Mtanzania wenye level moja ya kimasomo Mkenya atajua kuongea Kiingereza vizuri kuliko Mtanzania. Hilo hata Wabongo wenzako wanalijua ila ni ubishi tu mtatafuta.
kimasoma ndio nn? na since when a Kundustan artist yupo level moja na Diamond?
 
Acha ujinga wewe , watanzania wa kawaida walio ingia darasani kujifunza lugha wanaongea kizungu vizuri mno Tena bila sheng, mifano ipo kibao ukitaka nitaieleta hapa.. diamond ni failure darasani mwenye baraka ya kipaji na umaarufu tu, usimtolee mfano kamwe eti kwamba he’s more smart on matters of speaking good English eti kisa anakutana na wazungu.

Ngoja leo nikusanue, usichokijua ni kwamba, wasanii 70% au hata 80% hapa Tz ni wale hata form four hawakumaliza (pamoja na diamond platnumz), very difficult for them to master even tenses or simple grammars, considering the fact that Kiswahili is a language of instruction in primary schools while English is just a subject.

Ajabu ni kwamba mkiwaona Hao eti ndio mnatafsiri taifa Zima 😂😂😂😂
100% sahihi.

Kuongeza tu, wasanii na wacheza mpira wengi hata primary walikuwa wanapata zero.
 
Ni Rais wa Tanzania ,popote pale studio inaweza jengwa,mjengaji amechagua Zanzibar
Hajachagua, ameingizwa chaka. Mama yuko bias, hata mradi wa hospital mkubwa kapeleka huko. Idris baada ya mmuda ataelewa ni wapi mahala sahihi. Tupe hapa.

Zantel walihama Zanzibar, lazima unangalie soko wapi lipo. Sokolamovies liko Dar na ndio mahala pake.
 
Mwekezaji sio mjinga kwamba asijue wapi patampa faida, location ya Zanzibar ni muafaka kabisa.

Pili hiyo ni Studio tuu ,sipati picha ingekuwa kiwanda kama hichi ingekuwaje maana watu wa Bara mna majungu na fitina za kisengerema sana.

Rais anazurula Nje 😃😃👇👇

View: https://youtu.be/V6vc4XMDkko?si=id-ELIyU7hjJxLom
 
Hii niu confirmation bias.
Mimi sijaenda shule kabisa, walete hapa hata Wakenya 100+ washindane na mimi.
Why should I bring 100+ Kenyans here? I'm here and I read your attempt at English everyday and there's no single Kenyan on this thread that you can beat in English. That's enough evidence.
 
Na hapo ndipo unapotafutia pa kutokea. Nimekueleza wazi kwamba Mkenya aliyeenda shule ana Kiingereza bora kuliko Mtanzania aliyeenda shule. Mkenya mwenye hakuenda shule ana Kiingereza bora kuliko Mtanzania mwenye hakuenda shule.

Hapa Kenya tunaye Khaligraph ambaye level yake ya kimasoma ni sawa na Diamond. Ushawai msikia akiongea Kiingereza? Same na Otile Brown. Ndio maana nikakuelezea Mkenya na Mtanzania wenye level moja ya kimasomo Mkenya atajua kuongea Kiingereza vizuri kuliko Mtanzania. Hilo hata Wabongo wenzako wanalijua ila ni ubishi tu mtatafuta.
Kwa accent ipi,au kama ya huyu msomi,hambuleelii westing yhou,nyie wajinga hamjui kiingereza
 
Attachments

  • 2afd71e85a5207e30aaa944f1eb2cfe9.mp4
    1.4 MB
Yanga ilichapwa na Kariobangi SportPesa Cup.
Lete hapa hiyo mechi imechezwa lini!?
Maana yanga alikua south Africa na akishiriki Toyota Cup ambapo kashinda kwa kumfunga Kaizer Chiefs.
Ilete hapa hiyo mechi tuzione.
 
Jezi Kali balaa Yani katika jezi za yanga hii jezi Kali Sana 😂😂😂😂
Jezi ya Yanga kali ambayo mimi binafsi licha ya kuwa simba ila napongeza ubunifu wake ni hii 👇🏾
IMG_0608.jpeg
hiyo jezi yenu ya sasa ni mbaya kiukweli.
 
Back
Top Bottom