Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kupanfisha hadhi manispaa kuwa jiji si sawa na kutengeneza mkoa mpya! Tatizo lako huna uwelewa wa mambo!
Alishakataa iwe Kupandisha hadhi au kuunda Jiji,hapo Morogoro sio tuu wanataka Jiji Bali wanataka kupata Mkoa Mpya Kwa sababu mwisho wa siku mtoa idhini wa Mwisho ni Ofisi ya Rais.
 
Pale kwa daily dose mambo iko shwari.

a4-jpg.7650616
a5-jpg.7650617
Tunafunga mijadala ya mpira siku hio.
 
Na hapo ndipo unapotafutia pa kutokea. Nimekueleza wazi kwamba Mkenya aliyeenda shule ana Kiingereza bora kuliko Mtanzania aliyeenda shule. Mkenya mwenye hakuenda shule ana Kiingereza bora kuliko Mtanzania mwenye hakuenda shule.


Hapa Kenya tunaye Khaligraph ambaye level yake ya kimasoma ni sawa na Diamond. Ushawai msikia akiongea Kiingereza? Same na Otile Brown. Ndio maana nikakuelezea Mkenya na Mtanzania wenye level moja ya kimasomo Mkenya atajua kuongea Kiingereza vizuri kuliko Mtanzania. Hilo hata Wabongo wenzako wanalijua ila ni ubishi tu mtatafuta.
Hii niu confirmation bias.
Mimi sijaenda shule kabisa, walete hapa hata Wakenya 100+ washindane na mimi.
 
Back
Top Bottom