NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
Muingereza akija Kenya hatopata shida ya kuongelesha watu mitaani ila hapo kwenu atapata shida.Umekubali mtaani wakenya wengi wana kiingereA kibovu. Hamna cha ajabu. Infact Africa nzima wengi wanavunja tu. Hata SA wapi kibao Kiiingereza kimewapitia kushoto.