🤣🤣🤣🤣😃Utawaambiaje watu kutoka Nairobi wakuamini kwamba hapo sio Germany 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3060008
Bahati mbaya hizo gati tano ndio zinahudumia mizigo yote 😂😂Unafikiri sisi ni kama nyie🤣🤣🤣
Usifananishe Tanzania na nchi za hovyo sisi sio level yenu!! Tulimtoa mchina pale ndo akawekwa muhindi....besides ana gati 5 tu, sio bandari yote!!
Nyinyi kila kitu chenu kibaya kinachoonyesha uozo wenu ni lazima kimeokotwa mitandaoni. When will tanzanians stop living in denial?Naona umeanza kuokotesha picha sasa.
Hiyo issue imekuwa solved na mada imeisha.Nyinyi kila kitu chenu kibaya kinachoonyesha uozo wenu ni lazima kimeokotwa mitandaoni. When will tanzanians stop living in denial?
Watu wanataka jibu🤣🤣😂👇👇👇
View: https://x.com/HopeQuotes__/status/1819119875656405502
Unanionyesha nini wewe mbwaMbona bado upo, huondoki JF? View attachment 3060262
Next atakumbia kwamba umeokota picha mitandaoni, kwamba hapo si TanzaniaNow I know why they using two train heads to pull the coaches. These trains hazina nguvu🤣🤣😂😂👇👇👇
Geza Ulole ulisema uonyeshwe train ya vichwa viwili ikifika Dodoma😂😂🤣🤣👇👇
View attachment 3059065
Na DP world anafanya nini pale?? Anacheza mdako??Bahati mbaya hizo gati tano ndio zinahudumia mizigo yote 😂😂
Kulingana na mbwa za kusini ungewaskia "wanaigeria wanatuibia mtangazaji wetu" Hizi hua ni banter za online tatizo mbwa wa kusini ni inferiority
View: https://twitter.com/has_cum_again_/status/1819382067160916260?t=Kl7FakoWkLbv9S71OTYX7g&s=19
Itabaki nyaya za umeme tu. Tanesco wafanye kitu angalau posta yote waweke mfumo wa underground...Posta palisahaulika afadhali BRT itapapendezesha sana
Ushuzi wa bundi 😂😂😂Na DP world anafanya nini pale?? Anacheza mdako??
Mzee acha kukariri, kwa sasa hakuna foleni tena za meli ya kontena, foleni ni meli za general cargo na bulk cargo tu, na waiting time imeshuka mpaka siku 4, ngoja takwimu za mwaka hii zije ndo utajua hujui.....
Na hizi reforms za mama za Mambo ya tax ndo kabisa......
Wewe endelea kuota tu!!
Wakenya bwana. Check wanavyolialia kwenye comments...wengine wanataka wafute hii video inayoonyesha umaskini uliotukuka huko vijijini kenya...hakuna barabara, umaskini umekomaa...wengine wanakataa sii kenya... wengine bado wanajitetea kuwa wako better bado imagine....
Sasa huu ndo uhalisia wakenya. Sisi watanzania tukisema mnasema tunawaonea wivu na takwimu zenu za kupika ati. Kenya best Road, kenya nini mnajiona first world....
Tanzania ambayo ni twice in kenya in size iko mbali sana kwa maendeleo ya watu vijijini..
NairobiWalker Teargas
Kenya Rural 😂😂
View: https://youtu.be/e6JoGtx08UI?si=HI2L5_uIXbvniPr-
Yaani ofisi yake inajitengea badgeti ya mabillioni kupokea misaada ya laki hawa nyang'au aliyewaloga kafa