Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ni kiazi kitamu hana anacho jua anahitaji viwanda hana umeme wa uhakika,hana usafiri wa uhakika na mda mfupi na mzigo mkubwa kwa mpigo,anahitaji watalii ilihali ndege anazikataa hata akili ya kuzaliwa hana kama ya shule imeshindikana
Huyo ni tiagesi wa Tz, kichaa kabisa.
 
Sio madini tu, pia upande huu wa DRC ndipo penye population kubwa ya DRC kwa hiyo SGR yetu itapata mzigo mkubwa on both ways, go and return kwamba tutatoa shehena kubwa ya madini na tutapeleka shehena kubwa ya mahitaji

View attachment 3060427
Pesa za kujenga mpaka hapa Kindu zimeshapatikana, Kindu ndio Dodoma ya DRC na kutajengwa dry port kubwa sana Africa hapo ndio mizigo ya nchi nzima itakua inafika, tupo very strategic hatujakurupuka, DRC peke yake inaweza kulipa cost yote ya SGR in less than 5 years of operations
images (52).jpeg



View: https://x.com/FloryOKANDJU/status/1536298376857276417?t=dwWhk76nze8Mq7Le-uKQCA&s=19
 
Nimesoma hiyo article editor alivyoiforce Kunyaland ihusike kwenye sgr financing yetu inaongea mengi sana walivyo desperate na Tanzania 😂😂😂 Yaani utumbo mtupu ndio maana wanaitwa githeri media
Yan wao wanyimwe mkopo wa sgr ya diesel na mchina naivasha-malaba then watukopeshe sisi!hiyo pesa kwann wasiendeleze sgr yao,but ni kawaida yao kila kizuri chetu uwa wanataka ionekane na wao walishiriki 😂😂
 
Na hii export huwa inatoka DRC ya wapi? View attachment 3060446
Ulitakiwa ujiulize Sasa kwamba kama haipiti Tanzania inapita wapi?

Je unadhani ukijenga Sgr ndio itaacha kupita huko inakopita ije huku Bongo?

Reli yenyewe inategemea Huduma za DRC ku extend Hadi kwao ndio iwe na maana.

Mwisho huko mnakosema itaendelea hakuna hata Serikali,hiyo reli itafikaje? Sgr mliyojenga Kwa Sasa Ina faida gani?
 
Mwambie Mama warudishe hela wakupe ujenge unacho kitaka
Ulitakiwa ujiulize Sasa kwamba kama haipiti Tanzania inapita wapi?

Je unadhani ukijenga Sgr ndio itaacha kupita huko inakopita ije huku Bongo?

Reli yenyewe inategemea Huduma za DRC ku extend Hadi kwao ndio iwe na maana.

Mwisho huko mnakosema itaendelea hakuna hata Serikali,hiyo reli itafikaje? Sgr mliyojenga Kwa Sasa Ina faida gani?
 
Mwambie Mama warudishe hela wakupe ujenge unacho kitaka
Haiwezekani na alishasema kwamba tayari 14T zimeshakwenda kuacha ni hasara mara 2 so lazima iishe..

My Take: Hoja yangu inalenga kuzuia maamuzi ya kipuuzi hapo baadae Kwa sababu Nchi Bado inasonga so lazima kujifunza kwenye makosa na tusirudie kosa.

Reli zinajengwa ikiwa tayari kuna mzigo wa kusafirisha sio kusubiria matarajio na kupigia picha 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom