Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Andaman kwa nini hela zote hizo zimetimika zingejenga barabara omba uzima tu badae utakuja kuelewa maake huna unachokielewa maake hata bwawa la umeme ulikuwa unalipinga ila nahisi angevianzisha Samia ungeunga mkono 100% Kwa sababu viliasisiwa na JPM hapo ndio nongwa inpo anzia
Hii sgr yetu ikifika eastern DRC ni ndani ya miaka mitano tu tutakua tumesharudisha pesa zetu madini yaliopo kule ni mengi na changamoto kubwa ni usafiri, watu wanafikiri tumekurupuka, ni kichaa tu anaweza kudhani hizi billions of dollars zinaweza kutekezwa kisa tu kubeba abiria, akae kimya kama hajui kitu
 
Siku SGR yenu itatengeneza faida kuja tuongee kuhusu faida😂🤣🤣😂.
Tushakupigia hesabu bado unauliza kuhusu faida😂😂😂😂🍆🍆🍑🍑😭😭.
Reli yetu haitumii pesa za mapato ya kodi kuendeshwa.
 
Tayari pesa zimeshatumika no way out
Angalia hii ramani inayoonesha heavy and industrial minerals zilizopo DRC na zote zipo maeneo ambayo SGR yetu inaenda, usifikiri JPM akikurupuka, utajiri wote wa DRC upo huku tunapopeleka SGR yetu na ndio maana tumeamua tuingilie Burundi sababu haina conflicts na DRC kama Rwanda, Burundi ni kama tupo Tanzania tu

images (50).jpeg
Screenshot_20240803-122110.jpg
 
Angalia hii ramani inayoonesha heavy and industrial minerals zilizopo DRC na zote zipo maeneo ambayo SGR yetu inaenda, usifikiri JPM akikurupuka, utajiri wote wa DRC upo huku tunapopeleka SGR yetu na ndio maana tumeamua tuingilie Burundi sababu haina conflicts na DRC kama Rwanda, Burundi ni kama tupo Tanzania tu

View attachment 3060402View attachment 3060403
Timing is asset itself
 
Back
Top Bottom