Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mna safari ndefu sana
Kula chuma iyo, mchanga mjini tutakuwa tunaagiza kwenu, dadadeki angalia facility iyo kama Berlin mwanangu ❤️ ❤️ 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥
Screenshot_20240803-111017~2.png
 
Andamana kwa nini hela zote hizo zimetumika kujenga RELLY zingejenga barabara omba uzima tu badae utakuja kuelewa maake huna unachokielewa maake hata bwawa la umeme ulikuwa unalipinga ila nahisi angevianzisha Samia ungeunga mkono 100% Kwa sababu viliasisiwa na JPM hapo ndio nongwa ilipo anzia
Tayari pesa zimeshatumika no way out
 
Andaman kwa nini hela zote hizo zimetimika zingejenga barabara omba uzima tu badae utakuja kuelewa maake huna unachokielewa maake hata bwawa la umeme ulikuwa unalipinga ila nahisi angevianzisha Samia ungeunga mkono 100% Kwa sababu viliasisiwa na JPM hapo ndio nongwa inpo anzia
Huyo ni tiagesi wa Tz, kichaa kabisa.
 
Andaman kwa nini hela zote hizo zimetimika zingejenga barabara omba uzima tu badae utakuja kuelewa maake huna unachokielewa maake hata bwawa la umeme ulikuwa unalipinga ila nahisi angevianzisha Samia ungeunga mkono 100% Kwa sababu viliasisiwa na JPM hapo ndio nongwa inpo anzia
Mjinga mmja unaropoka.Lengo la objection Kwa Sasa ni kwamba makosa ya kipunguani kama hayo yasirudiwe.

Na good enough Sasa hivi Tume ya Mipango imerudi na Inaandaa Dira ya Taifa ambayo itaainisha vipaombele Le vya Nchi na kuvifunga kisheria Ili watakapokuja Marais wengine wasieleweka wasifanye mambo wanayojadiliana na Mke au mume wake.
 
Kiukweli pamendeza mkuu, juzi kati nilipita Hapo nimeona kuna mabati yamezunguka eneo la karibu na reli na ni kama wanajenga pale, nini kinajengwa kama unayo taarifa.?
Station ya zamani wanaweka fence mpya ile ya waya ngumu, pia wamekarabati yale majengo ya mkoloni. Wanafanya cosmetics kwa jumla. SGR ilikuwa bado sana sema Mama aliwaambia isiponza July 25 (Dodoma) anawatumbua kwahio ni kama wamelazimisha hivyo bado ujenzi unaendelea sehemu ya station ya zamani.
 
Kiukweli pamendeza mno pale, kama sio bongo.com a.k.a Dasilinga. BRT ikikamilika Hawa wasenge humu watahama 😂😂 mana hiyo posta itakua ya Moto Mkali sana.
 
Muhindi oyee!!!!!🤣🤣

Muhindi memsikia lakini jamani!!??🤣🤣 Kasema anachukia magofu ya JKIA, anayapaka rangi na kuziba mabati, halafu anajaza wahindi wafanye kazi pale maana wakenya "ujuzi hawana" wanaweza kuwa walinzi na house maids tu!!🤣🤣

Halafu akishamaliza utumbo huo, hatowaruhisu wakenya kujenga ama kuemdeleza airport nyingine yoyote Kenya kwa miaka 30🤣🤣

Eeehh! Asanteh muhindi, hizi sio bakora, ni mijeledi!!🤣🤣
Mhindi atawasaidia abiria wanaopita hapo hapo ushuzi jkia maana si kwa wezi wale wanaofungua bags za abiria
 
Back
Top Bottom