Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanavyomtukana sasa Binti ya watu. Kisa kasema ukweli...wao wanataka uwasifie tu.

Waache wazidi kudanganya Dunia....na hakuna mradi wa maana hapo Nairobi unaoendelea...
Green park Terminal ilishatelekezwa...mabasi yanapark popote huko Downtown..ni pachafu balaa...kuanziw archive kote huko mpaka gikomba kuna harufu za ajabu ajabu...

Baadhi ya Barabara za CBD zinaleak sewage mfano hiyo Moi Avenue..

Uhuru park walioifungua kwa mbwembwe ilichomwa kwenye maandamano sasa imefungwa...

Barabara ya chini ya expressway ni aibu ya Dunia. Haina mitaro wala sidewalks

Barabara za kilimani,lavington...kimsingi westlands subcounty barabara zake nyingi ni aibu. Panapendeza juu tu sio kwa ground.

Thika Road ukiachana na hio mainroad huko mitaani ni aibu kuanzia kahawa, Roysambu, muthaiga, mathare, nk nk

Stendi kuu ya Downtown karibu na globe flyover ni matope matupu..

Wako wanajitapa mbele ya Dar ambayo Posta barabara nyingi zinafumuliwa kuwekwa BRT...
The fact that you can mention Muthaiga in the same sentence with bad roads means you have no idea about Nairobi or what Nairobi is like. Toka hapo Tandale utembee utajua dunia.
 
The fact that you can mention Muthaiga in the same sentence with bad roads means you have no idea about Nairobi or what Nairobi is like. Toka hapo Tandale utembee utajua dunia.
Huyo huwa hajielewi. Hata ukimjibu atakachokujibu back utajua uelewa wake uko chini sana.
 
wewe mpumbavu nenda kanyonye kwa mamaako! Huyo Madowo angefanya coverage ya KQ pia na si kushupalia ET! Sisi tumlilie Madowo? Hell no!
Alipokuwa anaongelea jinsi JKIA inavuja mlimchukulia kuwa hero, leo hii amekuwa mbaya? Yani mnamheshimu mtu tu anapoiongelea Kenya vibaya? Ngoja siku atawaamulia hapo bongolala mtapasuka.
 
Picha za leo, kachiri bado zinauzwa (bottom right) viti nonfoldable, race track imewekwa zege, fence ndani ya uwanja. EQUITY BANK imejaribu kuwainua lakini nguruwe hapendezi 😂😂😂
IMG_20240803_175738.jpg
 
Kwa nini roho iniume? Mimi sijawahi kubaliana na Sgr since day 1 ,tumepigwa na kupoteza hela.

a)13T za Ndege 14 ,Barabara km 9,000
b)10.5T za Sgr km 700 Barabara km 6,000

Saizi tungekuwa tunazungumzia lami takribani km 15,000 Kwa investments ya 23.5T iliyomwagwa kwenye miradi ya Maonesho, cosmetic projects.

As we speak Tanzania ingekuwa.juu ya Kundustan Kwa Uchumi ila Kwa kuwa hamna akili ya kufikiria kipi kianze na kipi kifuate na lini ndio maana mnashangilia ujinga 👇👇

View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1819110185480474692?t=_qVsO48V6sF8D4m2t00mgA&s=19

We mbwa unaweza niambia wakati wa Magufuli kuna public transportation iliyokua inakwama kwama chini ya Government?

Usitake kutuletea udhaifu wenu kwenye Mambo ya Magufuli.

Port Magufuli aliiweza ila nyie mmeshindwa hadi kuleta DP WORLD, ADAN PORT.

Vivuko Magufuli aliviweza ila nyie mmeshindwa hadi Azam awasaidie.

BRT ilikua inapiga kazi vizuri tu round the clock, ila nyie mmeshindwa.

Umeme ulikua hausumbui nchi nzima mpaka nyie machawa kuingia ulikua kama enzi za kikwete hadi JNHP ikawaokoa.

Upungufu wa dola, mifumuko wa bei mmeshindwa dhibiti.

Ikiwa hayo yote mmefeli msitake kusukumia SGR kwa Magufuli, kama mnataka barabara si mjenge, mbona kipindi chake miundombinu ilikua inajengwa.

Kufeli kwa SGR ni ujinga wenu na serikali ya machawa kusifia which inaipa sifa mbaya nchi kuwa unreliable.

Muda huu kipindi cha mzee Kadogosa, Mbarawa wasingekua ofisini.
 
Ukiona mtu anatukana hovyo ujue ana ombwe la akili.

Public transportation ndio nini,be specific

Kama Port aliiweza,ule mtandao wa kuiba Mafuta ambao Makala aliufunua kule Kurasini ulikuwa wa nani? Kama Port aliiweza leta takwimu tulinganishe.

Kwani vivuko vimefanyaje labda?

Umekosa hoja,kwani umeme unamfanyaje? Sababu za kukatika ulikuwa huzijui au ujinga unakusumbua? By the way shida ya kukatika Kwa umeme awamu ya JK na awamu ya 6 ni zile zile za makosa ya awamu zilizotangulia.

Kwani BRT haipigi kazi? Nini hoja Yako?

Tanzania Kuna mfumuko wa bei? Upi? Dola zinasumbua wapi? Umewahi kosa bidhaa dukani Kwa sababu Hakuna Dola? 🤣🤣

Mwisho,hoja Iko pale pale mlijenga Sgr ya pambo Kwa minajiri gani hasa?
 
Back
Top Bottom