Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umeanza kuokotesha picha sasa.
So hapo sio Tz?😂😂🤣🤣🤣. Mmeanza kukana nchi yenu just because your SGR is fake?🤣🤣😂😂

1722546608652.jpeg
 
Yani unatoa wageni kwao uwakwamishe msituni? This is bad manners🤣🤣😂😂👇👇

View: https://x.com/MwananchiNews/status/1819115932452634640

Whichever the case, huu ndio utakuwa ukweli. Hizi treni sio mtumba na tumekuwa tukipost humu kuanzia haztua za awali za matengenezo na ni treni toka kiwanda kikubwa ulimwenguni Hyundai, na mkandarasi wa reli yetu ni Yepi Merkezi aliyekamilisha miradi kibao kwa zaidi ya miaka 50 na ndio aliyetengeneza Dubai Metro.

Why haya yatokee kwetu, if true?

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1819111620213154064
 
Kuna treni gani ya Morogoro inafanya kazi saa nne usiku!?
Morogoro treni ya mwisho ni saa moja na nusu usiku kuelekea Dar.
Don’t you hear hostess akiomba watu to be patient? Ama hiyo pia sio lugha ya kitanzania?😂😂🤣🤣
 
Whichever the case, huu ndio utakuwa ukweli. Hizi treni sio mtumba na tumekuwa tukipost humu kuanzia haztua za awali za matengenezo na ni treni toka kiwanda kikubwa ulimwenguni Hyundai, na mkandarasi wa reli yetu ni Yepi Merkezi aliyekamilisha miradi kibao kwa zaidi ya miaka 50 na ndio aliyetengeneza Dubai Metro.

Why haya yatokee kwetu, if true?

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1819111620213154064

Hata refurbishment pia hifanywa kwa kiwanda. Nyinyi mliona finished trains not skelotons, so hamjui kama na mpya ama ni mitumba😂🤣🤣🤣
 
Hata refurbishment pia hifanywa kwa kiwanda. Nyinyi mliona finished trains not skelotons, so hamjui kama na mpya ama ni mitumba😂🤣🤣🤣
Unakataa nini kijana!?
Au wewe unajua kuliko watoa taarifa!?
It is likely to be uhujumu maana hizo treni ni mpya hazina itilafu yeyote.
Screenshot_2024-08-02-00-14-41-41_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Hehehe🤣🤣😂😂👇👇👇

1722547100054.jpeg
 
Back
Top Bottom