Mm huwa nashangaa sn, naomba kuanzia leo huu mjadala uishe, tulishamaliza kitambo ubishani wa SGR tatizo watanzania bado wanampa air time huyo kichaa ambaye hakubaligi kushindwa kwa chochote, just imagine anakuambia treni ya Kenya inakimbia kuliko ya umeme, na bado kuna watu wanabishana naye, ifike kipindi sisi tuendelee kuwapelekea moto kwa kupost treni zetu huyo kichaa akikosoa wala msimjibu. Kwenye mambo mengine tubishane ila sio SGR, BRT, hydro power plants, airports, marine vessels, wala bus terminals.