ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mpaka leo hamujui imepita au laa 😃😃Je finance bill 2024 iko ???
Mpaka leo hamujui imepita au laa 😃😃Je finance bill 2024 iko ???
robo ya soko gani ndivo umedanganywa hvo hio moja ni failed airline na muliingizwa mkenge kweli 😄😄Naiona mali ya KQ precision Air, na wameshika robo ya soko 😂
Hisani yake kwenye nn 🤣🤣🤣🤣Kwa hisani ya EQUITY BANK 😂😂😂
Bonge la view!
Mdhamini Mkuu wa Yanga Day 😂😂Hisani yake kwenye nn 🤣🤣🤣🤣
Zaidi ya 100 japo serikali yao inasema 70 🥺 na Ruto didn't go nowhereNyang'au wangapi bado wapo mochwari kwa sababu ya maandamano yaliyoshindwa kumng'oa Ruto?😎😎
Manina mdhamini mkuu wa yanga labda unawazimu wa kichwa 😄😄😄Mdhamini Mkuu wa Yanga Day 😂😂
Mbona naona vumbi tupu? 🤣 🤣 🤣
🫣Kwani Tanzania mnakuanga na mizigo? Na nikiwaambia SGR yenu itakosa mizigo mnakasirika😂😂
SGR yetu ya moshi haijawai kwama hata mara moja kwa miaka 7 iliyofanya kazi, hii ya hawa tunayoambiwa ni standards za Europe haijafanya hata miezi miwili ishakwama kama mara tatu hivi. 🤣 🤣
sasa mbona clubs zikatae endorsements?Wakenya wanacontrol the sporting events of that country. Another Kenyan company approached by those poor souls😂😂👇👇
View attachment 3059916
Yes ni kweli 😂😂😂😂😂SGR yetu ya moshi haijawai kwama hata mara moja kwa miaka 7 iliyofanya kazi, hii ya hawa tunayoambiwa ni standards za Europe haijafanya hata miezi miwili ishakwama kama mara tatu hivi. 🤣 🤣
Si umeambiwa usiniongeleshe?😂😂🤣🤣🤣