Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
I have not seen a developed city without sane public transport and electric trains 😁
Wao tayari walikuwa wamelianzisha tena kwa umoja wa COW na ili kuwapiga bao ilikuwa ni lazima tufanye tofauti na wao kuwavutia wateja. Ndio ukaona tumeenda na vitu vya umeme, vya kasi na bei ya chini na nchi ya kwanza Magufuli kutembelea ilikuwa Rwanda, member wa COW kipindi kile na akajitoa kwenye ile project na COW ikafa. Tungejenga mibarabara bandari zetu tungetumia wenyewe na kule upande wa Southm Zambia wana project ya SGR through Lobito, Angola.Kituko Cha Karne hiki 🤪🤪🤪🤪
Tulipiga kelele matengenezo hayakuwa mazuri naona wameanza upya ndio maana imetake time na haya 6 yatarudi baada ya yale kuja. Kulikuwa na hata nyaya zina ning'inia.magovi mshaanza mambo yenu! Soon mtataka agombee Urais na kapewa miezi saba operations zianze vitu na vitu bado vinazima njiani yale mabehewa doubledecker second hand 30, kaleta 6!
The Chanzo nafikiri ni mradi wa Maria Sarungi na kundi lake.Yaani eti Uganda wana mzigo mkubwa kuliko hata Tanzania, mapishi mengine buana 😂😂😂
Na shehena zote za SGR, Nyerere dam, barabara, kilimo, madini, madaraja, viwanda, EACOP bado Uganda katushinda mzigo 😅😅🤔😁
Unateseka ukiwa wapi? Kibera au mathare?Mna safari ndefu sana
Nigeria wanafata nyayo zetu. Maiti za kusini wanavishwa sanda.
View: https://twitter.com/DEGEO7/status/1819336807101645281?t=tSJMUZXtJHS0e9tqLZPs1g&s=19
Kuna hapo machafu chafu wamepika data kuwapoza waandamaji 😂😂 au ushasahau first day tunazindua route ya dar-moro train umeme machafu chafu ndio siku walianza kuandamana 😂Yaani eti Uganda wana mzigo mkubwa kuliko hata Tanzania, mapishi mengine buana 😂😂😂
Na shehena zote za SGR, Nyerere dam, barabara, kilimo, madini, madaraja, viwanda, EACOP bado Uganda katushinda mzigo 😅😅🤔😁
Yani unalinganisha interchange Kisii ambayo haijaisha kujengwa na BRT ya Dar-is-a-slum??🤣🤣Ila mambo mengine ni aibu aisee....
Nini hiki....no sewage/drainage system, hakuna pedestrian walkways, finishing ipo hovyo sana
Na barabara nyingi kenya hata Nairobi ile expressway..barabara ya chini kuna finishing ya ovyo sana. Mvua ikinyesha matope hadi barabarani, hakuna mitaro, wala sidewalks.....yaan ukilinganisha barabara za BRT Dar hata ile ya kilwa road (ambayo tunaona bado haikujengwa vzr) na zile za Nairobi kuanzia Thika,waiyaki,mombasa road nk ni mbingi na ardhi....halafu mnatamba mna the best infrastracture in East Africa 🤔🤣
Tulipiga kelele matengenezo hayakuwa mazuri naona wameanza upya ndio maana imetake time na haya 6 yatarudi baada ya yale kuja. Kulikuwa na hata nyaya zina ning'inia.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1666829104820154368
Mzee si uliambiwa usiniquote? Why are you going against the wish of your fellow countrymen?😂😂🤣Hii mitungi inakaa bank automat na haitumii EC Bank card ina kazi gani? Yaani unaweka all these machines kwa ajili ya ku-print ticket tu? What a wastage of resources!
Electric trains za kukwama msituni?😂😂🤣🤣I have not seen a developed city without sane public transport and electric trains 😁
Si umeambiwa usinijibu?🤣🤣😂View attachment 3059878
The most developed city in kundustan in other side
Sawa sawa, halafu sasahivi wanalialia, wanataka tuwafungulie barabara za kaskazini kwa ajili ya mizigo ya Mombasa kwenda Rwanda, Burundi na Congo. Sisi hatutaki, wasituchanganyeIle ya serengeti kunyan nakumbuka walileta ushoga wao,jamaa wajinga sana
Hawa nyang'au wanapenda sana kujidanganya halafu wanafikiri watu wote ni wajinga kama wao walivyo😎😎😎I have not seen a developed city without sane public transport and electric trains 😁
Je finance bill 2024 iko ???Nyayo gani na yet Hakuna kitu kimebadilika 😀😀😀😀😀😀
Kwani kwako wewe mzee Bakharesa ni nani? Mginya huyo wa huko kwenu au muhindi!!!?? Bladifaken!!Wamiliki wa Tanzania, soon wanachukua SGR waendeshe 😂😂😂
View attachment 3059757