Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu ndio upuuzi gani sasa mbona hii imekaa kama mfano wa underpass? Amakweli mmezoea vitu jua kali dah 😁😁😁

Kwanza angalia ukuta ulivyopindapinda na quality ya hiyo infrastructure inafikirisha sana too sad kwa walipa kodi pole yenu 😁
Wakenya huwa wababaishaji sn, sasa hapo wamefosi hiyo ili waonekane na wao wanayo kama, kuhusu kupindapinda ni kwasababu mafundi ni Wakenya kumbuka.
 
Aloo kama mbele mwanangu ❤️ ❤️ 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥
20240802_111243.jpg
 
Hata ingechukua miaka buku ila Hadi Sasa hivi leta faida ya reli zilizopo maana Zina miaka Mingi ya hasara.

Mwisho Kila km 1 ya Barabara ikikamilika on the spot inaanza kuzalisha,reli ni vipi? 😆😆😆😆😆

Mnatumia Nguvu sana ku justify makosa ya kimaamuzi 🤣🤣

Nimekwambia na narudia mtandao wa Barabara ukiimalishwa hakuna Cha Msongamano Wala nini acha kujifariji.
Ngoja nikuache Kwanza maana akili zako ww zimebobea zaidi kwenye siasa za kibeberu, mtafute mchumi akutafautishie faida na ujue kwann reli ni lazima 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom