Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila mambo mengine ni aibu aisee....
Nini hiki....no sewage/drainage system, hakuna pedestrian walkways, finishing ipo hovyo sana

Na barabara nyingi kenya hata Nairobi ile expressway..barabara ya chini kuna finishing ya ovyo sana. Mvua ikinyesha matope hadi barabarani, hakuna mitaro, wala sidewalks.....yaan ukilinganisha barabara za BRT Dar hata ile ya kilwa road (ambayo tunaona bado haikujengwa vzr) na zile za Nairobi kuanzia Thika,waiyaki,mombasa road nk ni mbingi na ardhi....halafu mnatamba mna the best infrastracture in East Africa šŸ¤”šŸ¤£
 
Always nyie Wafuasi wa Magufuli ni brainless ndio maana mnatumia Trilioni 10 kujenga km 722 za Sgr badala ya over 6,000 km za Barabara.šŸ˜†šŸ˜†šŸ‘‡šŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C-JBcW1KB0D/?igsh=cHdra3U0aWo4Mmxi

My Take: Yale Yale ya Djibouti-Ethiopia Sgr train.

Kama mungejenga Barabara saizi tungekuwa tunavuna Uchumi tuu maana hizi complications zingekuwa hazipo.

Kwenye uchumi timing na maamuzi sahihi ndio ishu critical , mwisho wa siku Sgr itakuwa Inachukua kodi Ili kuihudumia, upuuzi.

Huna akili.

Bandari zetu kwa zaidi ya miaka uliyozaliwa zilikuwa zikiandapafom kwa sababu ya bandari ya Kenya, Mombasa.

Mshindani wetu ni Kenya ambaye ametangulia kujenga reli ya SGR kuunganisha na wateja wetu, Rwanda, Uganda, DRC, Burundi. SGR hata ya diesel inabeba mzigo mkubwa, kwa bei nafuu na kutembea kwa kasi kuliko Malori.

Nani atapitisha mzigo wake ubebwe na Lori kwa charge ya $3,000 kwa contena na kuchukua wiki kufika wakati anaweza pitisha Mombasa na likasafiri kwa $300 na kufika kwa siku moja?

Sasa, kujenga SGR ni swala lazima kwakua mshindani wako tayari amesha ingia huko, kujenga barabara ni ujinga.
 
Kituko Cha Karne hiki 🤪🤪🤪🤪
 
Ila mambo mengine ni aibu aisee....
Nini hiki....no sewage/drainage system, hakuna pedestrian walkways, finishing ipo hovyo sana

Na barabara nyingi kenya hata Nairobi ile expressway..barabara ya chini kuna finishing ya ovyo sana. Mvua ikinyesha matope hadi barabarani, hakuna mitaro, wala sidewalks.....yaan ukilinganisha barabara za BRT Dar hata ile ya kilwa road (ambayo tunaona bado haikujengwa vzr) na zile za Nairobi kuanzia Thika,waiyaki,mombasa road nk ni mbingi na ardhi....halafu mnatamba mna the best infrastracture in East Africa šŸ¤”šŸ¤£
Kazi ya fundi Maiko 🤣🤣🤣
 
IMG-20240802-WA0008.jpg

Train ya keshokutwa ishajaa
 
Back
Top Bottom