Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Kwanini isijae na treni ni moja inabeba abiria 900 na safari ni nneView attachment 3059744
Train ya keshokutwa ishajaa
Kwanini isijae na treni ni moja inabeba abiria 900 na safari ni nneView attachment 3059744
Train ya keshokutwa ishajaa
Hatujadiliani na maskini hapa.Kwanini isijae na treni ni moja inabeba abiria 900 na safari ni nne
magovi mshaanza mambo yenu! Soon mtataka agombee Urais na kapewa miezi saba operations zianze vitu na vitu bado vinazima njiani yale mabehewa doubledecker second hand 30, kaleta 6!Mzee Kadogosa hajaibuka kama uyoga. Siyo mdogo unavyomdhania.
Hiv ni kweli zimejaa? Au ni uhuni kama ule wa kwenye Air Tanzania. Ndege inaonekana imejaa au last seat lakini ukifika ndani unaweza lala kwenye seat 4 peke yako...View attachment 3059744
Train ya keshokutwa ishajaa
Tunaongelea badge ndugu yangu. Hayo yote haya yanahusiana na badge tunayoongelea? 🤣 🤣 🤣magovi mshaanza mambo yenu! Soon mtataka agombee Urais na kapewa miezi saba operations zianze vitu na vitu bado vinazima njiani yale mabehewa doubledecker second hand 30, kaleta 6!
Wanamilki kitu gani?Wamiliki wa Tanzania, soon wanachukua SGR waendeshe 😂😂😂
View attachment 3059757
🤣🤣🤣Wamiliki wa Tanzania, soon wanachukua SGR waendeshe 😂😂😂
View attachment 3059757
View: https://x.com/TheChanzo/status/1819326704029929932?t=U6Keb_Lf6O9xsZkQM5ocLQ&s=19
Tunakuja kuchukua mzigo huo!!! Kaeni mkao wa kula. Nyang'au nyie!!
Imejaa kweli hiyoHiv ni kweli zimejaa? Au ni uhuni kama ule wa kwenye Air Tanzania. Ndege inaonekana imejaa au last seat lakini ukifika ndani unaweza lala kwenye seat 4 peke yako...
TRC wawe makini sana. Watu wanaweza kucheza na mfumo huo. Ili zionekane zimejaa watu wakapande mabasi.....
Haya mawazo yanakuja baada ya kuona mashangilio makubwa treni ilipokwama kwa saa mbili tu....watu walifurahi sana. Inaonyesha wengi hawapendi huu mradi kuwa successful....
Angalia vizuri hizo tiketi ni 2 ww mkiberaKwanini isijae na treni ni moja inabeba abiria 900 na safari ni nne
Nigeria wanafata nyayo zetu. Maiti za kusini wanavishwa sanda.
View: https://twitter.com/DEGEO7/status/1819336807101645281?t=tSJMUZXtJHS0e9tqLZPs1g&s=19
Zinajaa mzee na bado abiria wengi wanakosa tickets.Hiv ni kweli zimejaa? Au ni uhuni kama ule wa kwenye Air Tanzania. Ndege inaonekana imejaa au last seat lakini ukifika ndani unaweza lala kwenye seat 4 peke yako...
TRC wawe makini sana. Watu wanaweza kucheza na mfumo huo. Ili zionekane zimejaa watu wakapande mabasi.....
Haya mawazo yanakuja baada ya kuona mashangilio makubwa treni ilipokwama kwa saa mbili tu....watu walifurahi sana. Inaonyesha wengi hawapendi huu mradi kuwa successful....
Mawazo haya ni ya kipumbavu na kimaskini kama wakenyaHiv ni kweli zimejaa? Au ni uhuni kama ule wa kwenye Air Tanzania. Ndege inaonekana imejaa au last seat lakini ukifika ndani unaweza lala kwenye seat 4 peke yako...
TRC wawe makini sana. Watu wanaweza kucheza na mfumo huo. Ili zionekane zimejaa watu wakapande mabasi.....
Haya mawazo yanakuja baada ya kuona mashangilio makubwa treni ilipokwama kwa saa mbili tu....watu walifurahi sana. Inaonyesha wengi hawapendi huu mradi kuwa successful....
Mna safari ndefu sana
View: https://x.com/TheChanzo/status/1819326704029929932?t=U6Keb_Lf6O9xsZkQM5ocLQ&s=19
Tunakuja kuchukua mzigo huo!!! Kaeni mkao wa kula. Nyang'au nyie!!