President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,766
- 89,791
Nimeongelea badge siyo course.Huwa kuna course za uongozi kwa yeyote pale!
Nimeongelea badge siyo course.Huwa kuna course za uongozi kwa yeyote pale!
Hata wageni wanapewa badges!Nimeongelea badge siyo course.
Hii NDC ina uhusiano na TISS?
Hiyo ya Kadogosa alihudhuria course pale!
Mama kasema kawaambia TRC waunganishe link inayoingia Airport kuchukua na kupeleka mizigo.How bro!!
Mzee Kadogosa hajaibuka kama uyoga. Siyo mdogo unavyomdhania.Hiyo ya Kadogosa alihudhuria course pale!
Mizigo mingi ya Rwanda na Burundi siku hizi inapitia Tanga.Hii port iimarishwe mizigo ya uganda ishukie hapo
Kwani TISS chuo chao kipo wapi?Hii NDC ina uhusiano na TISS?
Kuna trucks zenye namba ya rwanda nazionaga barabara ya tanga ila sikujua kama zinatokea tanga portMizigo mingi ya Rwanda na Burundi siku hizi inapitia Tanga.
Security ya kazi gani kwa nchi peaceful?
Hawajaamua kumTrumpisha huyu.
Hawa ni Kutoka Sweden anasema treni yetu ya umeme Service zake ni nzuri kuliko za nchi yake
View: https://youtu.be/98xyCukX8wo?si=h5r72uTqD8K8QQHd