Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only two coaches covered by the canopy. Zingine zote ziko nje, mvua na jua proper🤣🤣😂👇👇

IMG_0431.jpeg
 
SGR yenu ingekuwa profitable mchina angeendelea na ujenzi maana anajenga mwenyewe anakusanya nauli mwenyewe sasa kwanini haendelei na ujenzi kama sio kasanuka na huo mradi kuwa ni white elephant?
Kwani ya Tanzania ni profitable?🤣🤣
 
Kabla ya muhindi, alikua mchina hapo, Hutchison whampoa, unawafahamu.....au ulikua unahisi TICTS Iilikua kampuni ya manzese??

Hakuna jipya, kwenye hilo. Nyie focus kwenye kuuza airport yenu Tu kwa sasa kwa muhindi.
Naona hii propaganda ya eti tumeuza airport na bandari itakuwa iko sponsored na serikali yao kwenye mitandao ya kijamii ili kuwapumbaza na iwe rahisi kuuza airport yao kwa muhindi. 😂😂😂
 
Hawa wa humu huwa hawapandi garimoshi lao ndio maana huwezi ona wakipost wakiwa wamepanda, hawalipendi ila wanasifia garimoshi kwa ajili ya uzalendo. 😂😂😂
Tickets za tarehe 2 zimejaa, tarehe 3 zimejaa na tarehe 4 zimebaki chache, kidogo nikose ticket.
IMG_7477.jpeg
 
Ebu piga hesabu🤣🤣😂
Kila safari moja treni inabeba kuanzia abiria 500 kwenda juu.
Tufanye abiria 500 ambapo kwa kila mmoja angelipa 13000.
13000x500=6,500,000.
Gharama ya umeme haizidi 2milions,tufanye utoe na 1 million ya Korokoro ndogondogo ndani ya treni.
Unabakiwa na shingapi!?
 
Back
Top Bottom