Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar Dom 4k pax per day
Dar Moro 4k pax per day
With increased frequency we can easily prop up the numbers to 12k per day😁
 
Escalade !.. hahaha… i don’t know about Bongo but to me this a very regular SUV … they even drive it in the hood .. and this a used one on top of everything ..I can buy similar one cash money tomorrow if I wanted to.. please post real posh vehicles like ones in Kileleshwa or Kilimani Nairobi … sio vitu cheap ka jugu karanga 🤣🤣
Now this the kind of Escalade we respect.. the day you post one in Bongo.. I will bow down…
View attachment 3056402
Nunua tuone, au tuoneshe unayoendeshe. Mna kelele sana nyie jirani huku mnakufa na tai shingoni, kama mngekua na pesa nyingi vile sidhani kama unga ungewekewa Ruzuku wala change of inflation isingewafanya mkaingie bungeni kula ubwabwa.
 
Kitu Kimoja nimefurahi ni Ujasiri wa mama wa Kusafisha Ofisi nyeupe like kuanza upya.

Vita ni vita kuraaa,panga linaendelea hakuna Kuachia siti kizembe zembe.
Sikia mnafeli kitu kimoja kusahau wananchi? Unajua why Magufuli alikua anachukua maamuzi magumu dhidi ya Makundi, ni kwasababu alikua na full support na wanachi hivyo ikawa ngumu yale makundi kueneza propaganda wakaishia kuufyata.

Sasa huyo mama yenu kila kukicha matozo, mara kugawa vyanzo vya mapato, siasa nyingi kwenye usimamizi wa huduma za wananchi.

Unafikiri hayo makundi yakiamua kutumia hizo mbona population itasway hadi kupelekea yeye kupata upinzani.

Cha kufanya Population support ndio mnahitaji for now, na support ya population haiji huku kila kukicha vitu vinafumuka bei, dola inapotea, uzembe mwingi, matumizi mabaya ya kodi kununua magari wakati kuna sehemu miundominu ni changamoto, ukosefu wa mkakati wa kuokoa uchumi.

Hana timu yake kwenye sekta nyeti yaani timu isiwe na doa kabisa refer JPM

TANESCO ilijaa watu wapya wote wana degree ya umeme.

Fedha na mipango hakukua na wanasiasa bali kulikua na watu wanaojua wanachofanya.

Wizara ya kilimo ndio ilimleta huyo Bashe ambaye muda huu anawasaidia kumpa mama sifa.

Ujenzi na miundombinu kulikua hakuna usumbufu wa kuchelewa chelewa uslow. Yaani kila kitu kilikua kwa mstari.

Wizara ya Madini nayo pia.

Na kumbuka kila wizara hapo ilikua na mikakati yake ya kukuza uchumi wa nchi.

Ila now mpo na siasa sana kwenye wizara kiasi performance ya miradi au vitu vilivyochini ya wizara mnashindwa endesha hadi kuwapa watu wa nje.


Hapo hamna population support kabisa yaani seriously Mwinjaku na Baba levo ndio mnawapa mike kutufafanulia suala.la Bandari?
 
Folded seat ndio zinasaidia nn ?? Ikiwa uwanja Una Hali hii hzo folded seat zinasaidia kua na pitch yenye standards?? Au mpira utachezwa juu ya folded seat, 😂😂😂😂

Hamutapata CAF standard kwa upumbavu wenu kila kitu munajenga ni ovyo ovyo Tu

View attachment 3056710
Hawa ndugu unajiuliza wana tatizo gani? Hapo folded seats wanajiona FIFA 🤣🤣🤣
 
Baadhi ya madereva wa treni ya MGR ni pasua kichwa sana Mkuu... Wanazikimbiza sana hizo...

Kuna ambazo hadi wameweka vidhibiti mwendo ila bado Wanazikimbiza vibaya sana. Hapo huyo waziri akitoka ni kumuonea tu... Hao MGR wanataka nao kwenda spidi ya Umeme.... 😂😂
Waziri anakazi gani ofisini?? Na mpaka SASA hvi anafanya nn ofisini ?? Au tuendelee kusifia mtoto WA mjomba na shangazi
 
Back
Top Bottom