Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mbona alioyafanya Magufuli mkamuita names ndio mnayafanya upya? Mkubali Intel ya mwamba ilikua before time, ni mengi saivi mnalearn in a hardway kukubali JPM alikua hakurupuki, Samia aliingia kwa mbwembwe kumkosoa Magufuli mpaka kwenye mifumo ya ukusanyaji kodi na kusema eti hataki kodi za manyanyaso, saivi kila siku anabalisha makamishna na kupayuka kodi hazilipwi hazitoshi hazikusanywi, zile 4R zake eti reconciliation, resiliency, rebuilding, reform ni sera ambazo zinafawekwa kwa nchi zilizotoka kwenye crisis na failures, kuchukua nchi iliyojengwa vizuri na kusafishwa kutoka kwenye uozo wa ufisadi, rushwa, uzembe, ujinga na Magufuli na kuifanya nchi ya kuigwa Africa halafu kuja na hizo 4Rs ni matusi makubwa kwa kazi kubwa iliofanywa na Magufuli.
Maza hamna kitu kichwani na alikuwa akifuata nini lilekundi la waovu linamwambia na kumvimbisha kichwa, sasa yupo njia panda. Kashtuka gengelile linampeleka chaka na anategemea genge haya mawili: Magufuli gang na Lowassa gang ambayo yanaweza au tayari yamesha form umoja dhidi ya genge la Mkwere.
 
Huenda akasituka kwa kusifiwa sifiwa kusikokuwa na maana
Maza hamna kitu kichwani na alikuwa akifuata nini lilekundi la waovu linamwambia na kumvimbisha kichwa, sasa yupo njia panda. Kashtuka gengelile linampeleka chaka na anategemea genge haya mawili: Magufuli gang na Lowassa gang ambayo yanaweza au tayari yamesha form umoja dhidi ya genge la Mkwere.
 
Nunua tuone, au tuoneshe unayoendeshe. Mna kelele sana nyie jirani huku mnakufa na tai shingoni, kama mngekua na pesa nyingi vile sidhani kama unga ungewekewa Ruzuku wala change of inflation isingewafanya mkaingie bungeni kula ubwabwa.
Unabrag na post ya third generation Escalade .. come on man.. I don’t know about prices in Bongo but the one posted costs less than a million Kenyan shillings… hata Ichoboy can afford it..🤪😂😂
IMG_4226.jpeg
 
Back
Top Bottom