Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waliona JPM ni katili kumbe alikuwa anajua nini kinafanyika leo hii mama anakumbuka shuka kumekucha tutaona mengi tuombe uzima tu kutoka kwa mwenyezi mungu
Sasa mbona alioyafanya Magufuli mkamuita names ndio mnayafanya upya? Mkubali Intel ya mwamba ilikua before time, ni mengi saivi mnalearn in a hardway kukubali JPM alikua hakurupuki, Samia aliingia kwa mbwembwe kumkosoa Magufuli mpaka kwenye mifumo ya ukusanyaji kodi na kusema eti hataki kodi za manyanyaso, saivi kila siku anabalisha makamishna na kupayuka kodi hazilipwi hazitoshi hazikusanywi, zile 4R zake eti reconciliation, resiliency, rebuilding, reform ni sera ambazo zinafawekwa kwa nchi zilizotoka kwenye crisis na failures, kuchukua nchi iliyojengwa vizuri na kusafishwa kutoka kwenye uozo wa ufisadi, rushwa, uzembe, ujinga na Magufuli na kuifanya nchi ya kuigwa Africa halafu kuja na hizo 4Rs ni matusi makubwa kwa kazi kubwa iliofanywa na Magufuli.
 
Wanataka kutujumuisha watanzania kwenye ligi yao ionekane ipo juu mnakumbuka Dstv alivyo kuwa anataka mechi zetu zichezwe saa sita na saa saba ndiyo azionyeshe saizi anajiuliza alikosea wapi hana pakushika tofauti na mpira wa EPL kwa hapa kwetu
Hana nafasi tena Azam kashampiga na kitu kizito chenye ncha kali 😁
 
Hivi wewe unahabari kwamba airport yenu kapewa muhindi au unapayuka Tu, tena miaka 30!

Nchi yenyewe mna airport moja, na hiyo hiyo mnauza, hivi mnaakili Kweli??
Leo hii KQ anapitia kipindi kigumu, kwa sasa akidhindwa kulipa parking fees and such mnaweza kuuchuna na kumpa muda. ADANI atakubali?? Eti KQ mwaka mzima haijalipa madeni yake, atakubali.

Hii ni blunder kubwa mnafanya.
kwanza, KQ inalipia parking, atcl hailipi parking wanabebwa na serikali
Pili, Tuna international airport zaidi ya nne
Tatu, usifosi tufanane.
 
Folded seats watoe wapi mzee, 🤣🤣
We sikuchuliagi siraz😄
Screenshot_20240729-210220.jpg
 
Back
Top Bottom