Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hamna shida kwa maoni yangu maadamu walete treni zao (investors) wenyewe na walipie gharama ya kutumia reli yetu na umeme, abiria tuwe na options aidha treni ya trc au ya investor …
Kitu kinapewa mwarabu very soon kama brt na port 😬
 
Sasa mbona alioyafanya Magufuli mkamuita names ndio mnayafanya upya? Mkubali Intel ya mwamba ilikua before time, ni mengi saivi mnalearn in a hardway kukubali JPM alikua hakurupuki, Samia aliingia kwa mbwembwe kumkosoa Magufuli mpaka kwenye mifumo ya ukusanyaji kodi na kusema eti hataki kodi za manyanyaso, saivi kila siku anabalisha makamishna na kupayuka kodi hazilipwi hazitoshi hazikusanywi, zile 4R zake eti reconciliation, resiliency, rebuilding, reform ni sera ambazo zinafawekwa kwa nchi zilizotoka kwenye crisis na failures, kuchukua nchi iliyojengwa vizuri na kusafishwa kutoka kwenye uozo wa ufisadi, rushwa, uzembe, ujinga na Magufuli na kuifanya nchi ya kuigwa Africa halafu kuja na hizo 4Rs ni matusi makubwa kwa kazi kubwa iliofanywa na Magufuli.
 
Bashe sio kundi hilo wewe kima. Bashe hajawahi kuwa kundi hili. Hilo kundi ni Membe, Mkwere, Kinana, Makamba Snr na hao vijana. Bashe ni kundi la Lowassa, Rostam, Emannuel Nchimbi.
Sasa mbona alioyafanya Magufuli mkamuita names ndio mnayafanya upya? Mkubali Intel ya mwamba ilikua before time, ni mengi saivi mnalearn in a hardway kukubali JPM alikua hakurupuki, Samia aliingia kwa mbwembwe kumkosoa Magufuli mpaka kwenye mifumo ya ukusanyaji kodi na kusema eti hataki kodi za manyanyaso, saivi kila siku anabalisha makamishna na kupayuka kodi hazilipwi hazitoshi hazikusanywi, zile 4R zake eti reconciliation, resiliency, rebuilding, reform ni sera ambazo zinafawekwa kwa nchi zilizotoka kwenye crisis na failures, kuchukua nchi iliyojengwa vizuri na kusafishwa kutoka kwenye uozo wa ufisadi, rushwa, uzembe, ujinga na Magufuli na kuifanya nchi ya kuigwa Africa halafu kuja na hizo 4Rs ni matusi makubwa kwa kazi kubwa iliofanywa na Magufuli.
Kitu Kimoja nimefurahi ni Ujasiri wa mama wa Kusafisha Ofisi nyeupe like kuanza upya.

Vita ni vita kuraaa,panga linaendelea hakuna Kuachia siti kizembe zembe.
 
Nakupa airtime ya mwisho. Endelea kujifurahisha.. mana hata hujui chochote, unajichekesha tu

Ukiondoa hao watu pamoja na Majaliwa, Ndugai, Lukuvi, Prof Kabudi, mama anabaki na watu gani wa kumpa nguvu?
Wakina Slaa, Ndeleji na Mavunde ndo watampa nguvu?

Baraza la mawaziri wenyewe wengi tu hawamtaki kama Prof Mkumbo, Jafo, Ummy Mwalimu na Bashe

Na CCM yenyewe ina watu, mama pamoja na Urais au uwenyekiti wake hawawawezi hata kuwadindia. Wao wakiamua mama kutogombea tena, mama hana uwezo wa kuwapinga
Utumbo mtupu!!

Nchi ina watu millioni 60 halafu hao watu wanne ndo watutetemeshe??
Serikali ni taasisi. No one is irresponsible!

Hata hao poa wanaweza hata kuachia ngazi, watakuja wengine na mambo yataenda tu!
 
Back
Top Bottom