Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Venezuela kila alipokua akishinda Maduro walikua wanaandamana.
Hiyo sio mara kwanza na wala haijasababishwa na Gen Z wa Kenya.
Hata mwaka juzi waliandamana kutaka Maduro Venezuela atoke madarakani.
Acheni kujipa umuhimu wa kifala msiostahili.
Ni wajinga sana kudandia hoja, wanadhani wao tu Duniani ndio wanafanya Maandamano, utasikia wao ndio wamefanya Nigeria iandamane.

Wanaikumbuka END SARS demonstration?
 
Ni wajinga sana kudandia hoja, wanadhani wao tu Duniani ndio wanafanya Maandamano, utasikia wao ndio wamefanya Nigeria iandamane.

Wanaikumbuka END SARS demonstration?
Walinichekesha kuhusu Sheikh Hasina wa Bangladesh,eti walidai Bangladesh nao waliandamana kisa eti Gen Z wa Kenya.
Makalio hawa😂😂😂
 
Sikia mnafeli kitu kimoja kusahau wananchi? Unajua why Magufuli alikua anachukua maamuzi magumu dhidi ya Makundi, ni kwasababu alikua na full support na wanachi hivyo ikawa ngumu yale makundi kueneza propaganda wakaishia kuufyata.

Sasa huyo mama yenu kila kukicha matozo, mara kugawa vyanzo vya mapato, siasa nyingi kwenye usimamizi wa huduma za wananchi.

Unafikiri hayo makundi yakiamua kutumia hizo mbona population itasway hadi kupelekea yeye kupata upinzani.

Cha kufanya Population support ndio mnahitaji for now, na support ya population haiji huku kila kukicha vitu vinafumuka bei, dola inapotea, uzembe mwingi, matumizi mabaya ya kodi kununua magari wakati kuna sehemu miundominu ni changamoto, ukosefu wa mkakati wa kuokoa uchumi.

Hana timu yake kwenye sekta nyeti yaani timu isiwe na doa kabisa refer JPM

TANESCO ilijaa watu wapya wote wana degree ya umeme.

Fedha na mipango hakukua na wanasiasa bali kulikua na watu wanaojua wanachofanya.

Wizara ya kilimo ndio ilimleta huyo Bashe ambaye muda huu anawasaidia kumpa mama sifa.

Ujenzi na miundombinu kulikua hakuna usumbufu wa kuchelewa chelewa uslow. Yaani kila kitu kilikua kwa mstari.

Wizara ya Madini nayo pia.

Na kumbuka kila wizara hapo ilikua na mikakati yake ya kukuza uchumi wa nchi.

Ila now mpo na siasa sana kwenye wizara kiasi performance ya miradi au vitu vilivyochini ya wizara mnashindwa endesha hadi kuwapa watu wa nje.


Hapo hamna population support kabisa yaani seriously Mwinjaku na Baba levo ndio mnawapa mike kutufafanulia suala.la Bandari?
Hakuna aliyesahau Wananchi,sema siasa za maigizo charismatic politics ndio hazipo Kwa Sasa the likes of Magufuli but ukiniuliza mimi.nitakwwmbia Mama has done twice as much as Magufuli did like hivi 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-C8Wk3qB2E/?igsh=MWNubXAzZ2ExbWc0ag==

View: https://www.instagram.com/reel/C-C_CukKnH3/?igsh=bmk4bGlhMmcyaXh4
 
Hai-Kilimanjaro

View: https://twitter.com/wizara_elimuTz/status/1818259961350123775?t=exG9EsQz9hENVs_c8uLDbw&s=19
Screenshot_20240428-085409.jpg
Screenshot_20240428-085348.jpg
Screenshot_20240428-085428.jpg
Screenshot_20240428-085456.jpg
Screenshot_20240428-085541.jpg
Screenshot_20240428-085635.jpg
Screenshot_20240428-085556.jpg
Screenshot_20240428-085740.jpg
Screenshot_20240428-085803.jpg
Screenshot_20240428-085854.jpg
Screenshot_20240428-085905.jpg
20240730_155539.jpg
 
Dar Dom 4k pax per day
Dar Moro 4k pax per day
With increased frequency we can easily prop up the numbers to 12k per day😁
Zile number zao wanazotamba nazo walizopata with in 5 years of operation sisi tunazipiga with in ndani ya mwezi mmoja wa ufunguzi.. 😂😂
 

Hizi ni siasa za kijinga sana.Hakuna mwenye monopoly of power.Haya mambo ya mtandao sijui nini ni siasa zinazosumbua tu kizazi hiki cha juzi.Lakini watalaamu wa siasa wanajua kuwa ndani ya Chama Huwa Kuna power struggle pia ni kazi ya kila kundi kutengeneza ushawishi ili mgombea wao ashinde wakati fresh nomination inafika muda wake.Hao akina Nape,Makamba utake usitake unawahotaji.President Samia asisikilize maneno ya wapambe uchwara 2025 Kuna weza kuwa na vumbi lisilotarajiwa kutoka na watu wanavyozidi kuaminishwa kimya kimya uhasi wa Madam president.Not easy
 
Back
Top Bottom