ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,261
Hivi wewe unahabari kwamba airport yenu kapewa muhindi au unapayuka Tu, tena miaka 30!Kitu kinapewa mwarabu very soon kama brt na port 😬
A Cadillac is still a Cadillac.Mwenzako kaona gari la maana akarusha jf 🤣🤣🤣
Nani anataka kuona hii takataka mwendo wa kobe,halafu wehu ndio wanataka kucompare huu uchafu na sgr yetu!Jirani hawezichukua clip kama hizi mtungi wao ukipita, sauti ya reli zao ni kama mashine ya kokoto 😀
The whole of Tz Kuna stadium with folded seats as per fifa standards?Nimecheka Sana Sana na nimejua sasa kwann hua hamupati CAF standards 😂😂😂😂
Ngoja niwape majobless wakenya hot topic ya kudiscuss kukikucha
View: https://twitter.com/millardayo/status/1818026688401305684?t=OyaVA9giNwUPxsOtWpZLDw&s=19
Uzembe kuna mtu anapaswa ku-control hiyo reli kabla treni haijapita!
Wewe ni mwehu unless hujui standards za CAF au FIFA nenda kasome alaf Rudi hapa 😂😂😂The whole of Tz Kuna stadium with folded seats as per fifa standards?
Mko na folded seats? Like Amahoro or namboole stadiums????Wewe ni mwehu unless hujui standards za CAF au FIFA nenda kasome alaf Rudi hapa 😂😂😂
Folded seat ndio zinasaidia nn ?? Ikiwa uwanja Una Hali hii hzo folded seat zinasaidia kua na pitch yenye standards?? Au mpira utachezwa juu ya folded seat, 😂😂😂😂Mko na folded seats? Like Amahoro or namboole stadiums????
Na siaya siku ikipata CAF standard hata kwa miaka 10 ijayo nitag nifunge ACC😂😂😂Mko na folded seats? Like Amahoro or namboole stadiums????
Hebu leta hzo FIFA standards tuzione 😂😂😂😂The whole of Tz Kuna stadium with folded seats as per fifa standards?
Tanzania kwa sasa tushafikia level kubwa sana kisoka, habari ndogo ndogo kama hizi hatuna mpango nazo, kwanza hata Yanga wenyewe hawakuiongelea hiyo taarifa, yani Yanga waongelee taarifa ya Rais wao kualikwa Kenya kweli 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣