Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa majamaa bana.😂😂😂
I guess jamaa anapinga just because he can’t bear the fact that it was Kenyan that designed most important buildings in Tanzania.

James Kimathi even wrote a book talking about his architectural work in Parliaments and on the Cover page is Tanzanian Parliament in Dodoma.

1721630781470.jpeg
 
Miaka ya Uhuru bunge lenu lilikuwa Dar es Salaam, nikufunze hadi historia yako?

View attachment 3048492
Ona ulivyo huna akili.
Tanzania ilipata uhuru 1889!?
Hilo ni jengo la bunge la Germany East Africa Matako wewe.
Bunge la kwanza la Tanganyika ambalo Uingereza walikua wakilitumia 1929 ndilo sisi tuliendeleza kwa kulijenga upya baada ya uhuru miaka ya 1960s.
Bunge ambalo unalosemea wewe ambao K&M wamehusika ni lile lililokamilika renovation 2006.
Kumbe naongea na kichaa !?
 
I guess jamaa anapinga just because he can’t bear the fact that it was Kenyan that designed most important buildings in Tanzania.

James Kimathi even wrote a book talking about his architectural work in Parliaments and on the Cover page is Tanzanian Parliament in Dodoma.

View attachment 3048494
Kimathi amefanya interior and exterior design to ya renovation ya bunge jipya.
Na hiko sio kitu kikubwa cha kuogofya.
Ila historia ya jengo namna lilivyo ni usanifu wetu sisi waswahili.
 
Dude, give up. You're clearly losing it hata kuquote kunakushinda. TSL were the electrical engineers on the project, K&M were the Architects. TSL is not an architectural firm sasa watafanyaje kazi ya architect? Hivi wewe unaweza peleka gari lako Muhimbili hospital likatibiwe? Una ubishi wa kitoto sana. Sijui una miaka mingapi ila maturity yako iko chini sana.
Kawafuatilie TSL vizuri tusibishane.
Ile ni kampuni inayohusika na masuala tofauti tofauti sio vifaa vya umeme tu.
 
Endelea kujifariji.
Bunge ni usanifu wa kiswahili mlichofanya ninyi ni ukarabati tu wa usanifu wetu basi.
The good thing unapingana bila evidence😂😂😂👇👇

You posted this screenshot but cropped out architect name😂😂😂

IMG_0385.jpeg
 
Ona ulivyo huna akili.
Tanzania ilipata uhuru 1889!?
Hilo ni jengo la bunge la Germany East Africa Matako wewe.
Bunge la kwanza la Tanganyika ambalo Uingereza walikua wakilitumia 1929 ndilo sisi tuliendeleza kwa kulijenga upya baada ya uhuru miaka ya 1960s.
Bunge ambalo unalosemea wewe ambao K&M wamehusika ni lile lililokamilika renovation 2006.
Kumbe naongea na kichaa !?
Dodoma Parliament was first constructed on 2006 from scratch in a new location. Hakuna cha renovation hapo.
 
Niondolee USENGE HAPA.
Hamja design kitu pale.
Walio design ni TSL DUBAI na TSL Tanzania,na waliolisanifu ni TSL Tanzania Matako wewe.
Usituletee empty words hapa.
Tena ukome kusema bunge la Tanzania mme design ninyi.
Bunge la Tanzania tume design sisi wenyewe wanatumbi na kulijenga wenyewe mpaka kusimama.
Usitufanye sisi watoto.
Ushawasahau wangese walikua wanadai bus za brt wametengeneza wao,magufuli alifia kwao,ila cha ajabu terminus yao ya sgr pale naipori aifikii design ya magufuli bus terminal
 
Baada ya Marope kuliwa kichwa nashauri Serikali ifutilie mbali ule mradi wake wa kujenga Nairobi aliotaka kuchotea hela za kutafuta Urais.
 
Ona ulivyo huna akili.
Tanzania ilipata uhuru 1889!?
Hilo ni jengo la bunge la Germany East Africa Matako wewe.
Bunge la kwanza la Tanganyika ambalo Uingereza walikua wakilitumia 1929 ndilo sisi tuliendeleza kwa kulijenga upya baada ya uhuru miaka ya 1960s.
Bunge ambalo unalosemea wewe ambao K&M wamehusika ni lile lililokamilika renovation 2006.
Kumbe naongea na kichaa !?
Hii hapa ndio unaita renovation? 🤣🤣
iiif

Naomba unionyeshe hili jengo kabla 2006. 🤣 🤣
CMxuKcgWgAUKnjN.jpg
 
Kawafuatilie TSL vizuri tusibishane.
Ile ni kampuni inayohusika na masuala tofauti tofauti sio vifaa vya umeme tu.
Wewe wacha nikuache maanake unaonyeshwa yai unaambiwa hili ni yai wewe unabisha unasema ni jiwe. 🤣 🤣
 
Dodoma Parliament was first constructed on 2006 from scratch in a new location. Hakuna cha renovation hapo.
Anasema limekuwa tangu Uhuru yet Dodoma imechaguliwa kuwa capital mwaka wa 1996 na shughuli za utawala zimeanza kupelekwa huko majuzijuzi tu. Bunge la kwanza limefanywa Dodoma mwaka wa 2017. Yani huyu mtoto achana tu naye.😂😂
 
Back
Top Bottom