Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niondolee USENGE HAPA.
Hamja design kitu pale.
Walio design ni TSL DUBAI na TSL Tanzania,na waliolisanifu ni TSL Tanzania Matako wewe.
Usituletee empty words hapa.
Tena ukome kusema bunge la Tanzania mme design ninyi.
Bunge la Tanzania tume design sisi wenyewe wanatumbi na kulijenga wenyewe mpaka kusimama.
Usitufanye sisi watoto.
Umeingia humu juzi. Huu mjadala tulishaaumaliza.
 
Umeingia humu juzi. Huu mjadala tulishaaumaliza.
Haijalishi nimeingia juzi au jana.
Wakenya mlikua SEHEMU NDOGO SANA YA KAZI.
SEHEMU kubwa kuanzia usanifu,Ramani ya jengo na ujenzi ni hizo kampuni mbili moja ikitokea Dubai.
Mie huwa siongei tu kukurupuka.
Kenyans mlikua SEHEMU ya hiyo kazi tena nasema ninyi mliku minors katika hiyo kazi wakuu walikua hizo kampuni ya TSL na Estim.
Nimemaliza mjadala.
 
We matano ya nyani usinifanye nitukane asubuhi hii yote.
Walio design hilo jengo si K&M sio nini wakenya USITAKE kutudanganya.
Pia bunge la DODOMA hakuna hata kibarua wa Kenya alogusa pale.
Lile jengo limesanifiwa na waswahili wenyewe mpaka bunge linasimama.
Endelea kupingana na ukweli.

Here is the architectural design of TPA when it was presented by K&M to your government.
1721627754221.jpeg
 
Haijalishi nimeingia juzi au jana.
Wakenya mlikua SEHEMU NDOGO SANA YA KAZI.
SEHEMU kubwa kuanzia usanifu,Ramani ya jengo na ujenzi ni hizo kampuni mbili moja ikitokea Dubai.
Mie huwa siongei tu kukurupuka.
Kenyans mlikua SEHEMU ya hiyo kazi tena nasema ninyi mliku minors katika hiyo kazi wakuu walikua hizo kampuni ya TSL na Estim.
Nimemaliza mjadala.
The person who designed TPA, Dodoma Parliament and Rock City mall is known as James Kimathi to specific.
 
Unajua Dodoma parliament ilikua designed lini na kujengwa lini!?
😂😂😂😂😂Makalio wewe,unajua historia ya ujenzi wa bunge la Dodoma!?
Naona maandamano yamekutoa akili.
Wewe ni fala.

IMG_0383.png
 
It’s like this Kimathi guy designed every import buildings in Tanzania 😂😂😂👇👇

IMG_0384.png
 
Haijalishi nimeingia juzi au jana.
Wakenya mlikua SEHEMU NDOGO SANA YA KAZI.
SEHEMU kubwa kuanzia usanifu,Ramani ya jengo na ujenzi ni hizo kampuni mbili moja ikitokea Dubai.
Mie huwa siongei tu kukurupuka.
Kenyans mlikua SEHEMU ya hiyo kazi tena nasema ninyi mliku minors katika hiyo kazi wakuu walikua hizo kampuni ya TSL na Estim.
Nimemaliza mjadala.
Hivi una miaka ngapi dogo? Una ubishi wa kitoto sana. Yani unapewa evidence yote bado unabisha tu.
Ninavyojua mimi Estim ni contractors, sio architects. Hivi unajua utofauti wa contractor na Architect? TSL ni electrical engineers, sio Architects, hivi unajua utofauti wa engineer na architect? Unajua kuwa jengo la urefu wa TPA huwa na consultants wangapi na contractors wangapi? Unajua lead consultant huwa nani? Hili jukwaa limejaa vitoto vidogo kama wewe Coodip, Sambaboy et al ambavyo vimeona mtandao juzi sasa vinangángána kupingana vitu ambavyo havielewi.
Huyu hapa mwanzilishi wa K&M Archplans akihojiwa. Tazama kuanzia 6:29 akiongelea Tanzanian Parliament. 6:53 anaongelea TPA hadi model imeonyeshwa. Acheni ubishi wa kipuuzi?

View: https://youtu.be/UtScsLLJd6I
 
Back
Top Bottom