Matako huyu tena kanikera akisema kuwa HADI BUNGE LA DODOMA WAME DESIGN KENYA.Hapa umemaliza kila kitu, eti wanakuambia architecture wa Kenya ndiyo ali design hayo majengo alafu kuna baadhi ya watanzania waliamini uzushi huu, Tz kuna architecture wazuri kuliko Kenya, ni kichaa pekee ndiyo atawapa kazi wakenya wa design majengo ya Tanzania ilihali wakenya wote now Wanawapa kazi wabunifu kutoka Tanzania ku design na kujenga majengo yao.
Ilhali bunge la Dodoma wame design watanganyika wote asili ya kitanganyika.
Namtafutia na ushahidi wa ujenzi wa bunge la Dodoma.