Alafu mtu akiacha kubishana nae anaona amewin?View attachment 3045824
Tunakoelekea itabidi tuache kujadiliana na Wakenya 😂😂😂. Yaani mnadownload picha za Watu huko mnakuja kutuletea humu kujifariji na gari moshi lenu, yaani hata kuangalia kuna mtu mweupe wakati Kenya mnakuwaga weusi ti, umeshindwa
Swetie na wewe umeingia kwenye huu mjadala I wont be harsh on you as I do to other kimas.Naona ujinga haukutoki, wacha nikuelimishe kidogo bongolala. Wakisema round off wanamaanisha keep it simpler by presenting it as the nearest significant number referenced. In this case, rounding off to the nearest hour he significant number reference is a full hour. Kwa hivo utaangalia hiyo figure iko kati ya which two full hours. Figure inayoongelewa ni 3:35, yani masaa matatu na dakika thelathini na tano. Hiyo figure iko katikati ya 3hrs na 4hrs lakini iko karibu na 4 hours zaidi (dakika 25) kuliko 3 hrs (dakika 35). Kwa hivo ukiround off 3:35 to the nearest hour unapata 4 hours. Nyie watu somo la hisibati liliwapita sana.Nimeone humu mkikosea vitu rahisi tilivyofunzwa shule ya msingi na mnajiita graduates. Masomo yenu duni sana.
Kama mnajua hesabu mbona huwa mnakosea ratio na maghorofa mengi kuanguka kila siku?Kwani watanzania wanajua hesabu? Unajua hesabu?
Kiswahili kipana "Vihenge"
Kila kitu ni kuponda jema kwako lipo wapi, mengine kubali yaisheThese are second hand disfunctional coaches from Germany. Nobody wanted to board them in Germany and that’s why they were shipped to Tanzania. They are not trains. Do you even know what trains are?
You are just an idiot who doesn’t know anything about Mathematics. So you think kuweka X=X+1 makes you special?
There is no answer for that equation as it’s self contradicting.
Please don’t get yourself banned again… very sensitive question… 😂😂😂😂😂😂😂😂
Watu wa hovyo kabisa hawa.
Kaka naomba ufafanuzi hapa sijaelewa.Nenda kawasaidie Gen Z tena kuandamana. 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 Mnataka muongozwe na malaika?
View attachment 3046409
Kama tunafatilia zenu sana, hapa Tz kuna mwanasiasa wenu yoyote alikua anapigiwa kelele kama ni Raisi wao kama huko kwenu kipindi cha Magufuli?Yani Bongolala wanafuatilia siasa za Kenya mbaya sana. Washaajua new CSs Mimi hata kabla nijue.😂😂
Wewe inashangaza, sometimes nahisi sisi wenyewe ndio tunayataka kuwapa airtime like seriously.Hivi kweli mnapoteza muda na huyo kichaa kuhusu treni? Wakenya wengi wamekuja kupanda treni yetu na wamekiri ni nzuri na ina mwendo. Far better kuliko ule mtungi wa gongo. Acheni kupoteza muda na mtu alieingia Nairobi ukubwani na kaishia Kibera.
Na wewe rudisha wenye picha za sofa zao za train.Rudishia wenyewe picha Yao. This is not a Tanzanian train.
Ameteua baraza jipya la mawaziri. Wakenya hawawataki hao mawaziri. Na hiyo ndiyo orodha ya wale aliowateua.Kaka naomba ufafanuzi hapa sijaelewa.
Hii pia in CAF approved…🤣🤣🤣.. CAF is a joke!Viti vya mbao😂😂
Ukunyani koot hamna facility kama hiyo!Hii pia in CAF approved…🤣🤣🤣.. CAF is a joke!