Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo maku ya Arusha iko approved?
Talking of locating everything in Nairobi wakati Kenya is building stadiums in all the 47 counties as I type this. Are you even listening to yourself?
Arusha ni mpya na kwa asilimia kubwa imekidhi vigezo na itakua FIFA approved. Huko mnakojenga kwingine mbona hatuoni hivyo viwanja vya maana!?? Mkiwa na FIFA approved stadium ndio uje ubwatuke hapa.
 
Halafu hawa jamaa matofali yao mabaya sijui wanajengaje nyumba kama mazizi ya mifugo.
nchi nzima iko ivo, ni affordable bricks
1789139975888.png
 
Back
Top Bottom