Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,941
- 103,819
Check no 10!Yet both Uganda and Tz hamko Top 10 in Africa.
What an irony😂
Check no 10!Yet both Uganda and Tz hamko Top 10 in Africa.
What an irony😂
Ila wamalizie BRT kipande cha mwenge to Tegeta kwanza.Hapo mikocheni wanafanya dual road muda sio mrefu nadhani walikuwa wanasubiri wafanye pamoja na BRT moja kwa moja
Hakuna kitu kina kera kama pale mnaposimama junction then bajaj inapenya nakuja kukaa mbele yakoZiondolewe main road itabidi tuwe wakweli bara bara zetu hazina category ya matumizi, ilitakiwa barabara moja ina required speed like 90kmh, hiyo barabara isiwe na uchafu wowote, hata Zebra hamna full vivuko, kingo ziwe fenced au kuwa juu, No Bajaji, No bodaboda, Hakuna gari ambayo watu wamekaa nje inaruhusiwa kupita, ukitaka kuingia mtaa wako kuna exit road (Expressway).
Kwa hapa Dar, Morogoro Road, Mandela Road, Samu Nujoma Road, Bagamoyo Road, Kilwa Road, Ile inayopita Magomeni kwenda Ilala Boma, Airport Gomz. Zinakidhi vizuri na zikifanyiwa kazi mbona foleni inapotea as long as Kila makutano kuna kitu kama ubungo Interchage ($200m kweli inatuzuzua kutoa mara 4 INTERCHANGE tu? TAZARA, MOROCCO, MWENGE, MAGOMENI KANISANI) Mbona zinazidi kwenye upigaji?
Zinasababisha ajali zisizo za lazima, siku ile bajaj zenye ngao zikikung'olea bamper au bodaboda wakikuvunjia side mirror utaelewakwa kweli hapo mimi nakubali ni “mpumbavu” kama dar itakuwa first world city kwa kuondoa boda boda, basi kuna kitu sielewi kuhusu maana ya first world city ni lazima nikiri …
Binafsi naona wanakera city centre kuliko sehemu zingine kwakua magari hayakimbii. Kwenye highway kero inapungua maana wanakua na adabu kuhofia kifo. We tembea zako kuanzia saa nne uone bodaboda wanavokua na adabu, wengine wanatembea pembezoni mwa barabara kama baiskelihapana, boda boda hazikupaswa kuruhusiwa in first place, hoja yangu ni kwamba kwa nini tu zizuiwe city center na siyo kila mahali?
Ombaomba wanakera zaidi.Binafsi naona wanakera city centre kuliko sehemu zingine kwakua magari hayakimbii. Kwenye highway kero inapungua maana wanakua na adabu kuhofia kifo. We tembea zako kuanzia saa nne uone bodaboda wanavokua na adabu, wengine wanatembea pembezoni mwa barabara kama baiskeli
Ila city centre ukitembea wanakatishakatisha bila woga
Kiazi kitamu weweMambo yasiyokuwa na msingi msinitag
Zoezi pa kugawa magari Kwa Ma DC linaendelea 👇👇😁😁😁😁😁 Sawa abduli
Unanitag mambo ya mabajaj unategemea nikwambie nini? 😆😆Kiazi kitamu wewe
MAgufuli hoyeeeeee!Unanitag mambo ya mabajaj unategemea nikwambie nini? 😆😆
Nitag uchumi,siasa na Biashara au maendeleo kiujumla.
Hoyeee ila Samia hoyeee mara sa 💯MAgufuli hoyeeeeee!
Munahangaika na vitu havina maana munasahau haya matapishi👇👇👇
View: https://x.com/NationAfrica/status/1812012137033671124?t=lovEkgHmlLh47kgs4fMQ6g&s=19