RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,491
- 135,462
Umenikumbusha bodaboda wa highway za kwenda mikoani, wana adabu balaa. Wanaendesha pembeni kabisa nje ya mstari. Kwasababu wanajua wakileta ujinga watu wanapita nao na hawasimami.Binafsi naona wanakera city centre kuliko sehemu zingine kwakua magari hayakimbii. Kwenye highway kero inapungua maana wanakua na adabu kuhofia kifo. We tembea zako kuanzia saa nne uone bodaboda wanavokua na adabu, wengine wanatembea pembezoni mwa barabara kama baiskeli
Ila city centre ukitembea wanakatishakatisha bila woga