Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Overpay, kadri unavopanua watu wanzidi kutamani by Anna Tibaijuka. Hata mimi na Uafrika wangu kuna nchi nliombwa pesa baada ya kumpa jamaa tip kwenye hotel nliyofikia Asia.
Sio TZ pekee bali ni Africa na pia sio Africa pekee bali pia baadhi ya nchi duniani
Nishakuwepo moldova,romania,ukraine na bulgaria,hizi nchi zote ukikutana na watu uwa wanaomba,na hasa mtu mweusi kama una muonekano flan wanajua wewe AA
 
Machiniga wanalalamika utafikiri hakuna Machinga complex inaoza!
Machinga wakipewa maeneo wanakataa kwenda,mbezi mwisho kuna barabara nzuri mno lakini aionekani machinga wamejenga juu ya mitaro ya maji na wengine wamesogea hadi barabarani,while pale kwa nyuma kuna soko na eneo kubwa lakini hawapataki
 
Ifike wakati serikali iwakazie! Nchi haiwezi kwenda hivi! Kwanza wanashirikiana na wenye maduka kukwepa kodi!
 
CAF approved stadium in Africa mukipata any stadium in Kenya munitag plz๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ wameshindwa hata na Uganda

Ile Azam complex iko hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 3041234View attachment 3041235
Wanasubiri talanta jua kali Stadium ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Benjamin mkapa stadium ni kama maji lazma uyanwe au uyaoge hila kusahau pia inasafisha kipumulio ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Screenshots_2024-07-13-20-15-45.png
 
Back
Top Bottom