ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,245
Tumebinafsisha hatujauza,ujinga huu umemezeshwa na Wapinzani.Hivi unajua huyo huyo muhindi ndiye anayemilika Port of Dar? Yani unashare yetu yenye tumegundua utapeli tukasimamisha wakati kwenu mmeuza Port, mmeuza BRT, mmeuza National parks na bado mnaendelea kuuza.
Punguza hasira. 🤣 🤣 🤣Huu ni uongo, Kenya parachichi alikuwa anachukua Tanzania alafu anaexport kama zake, suburi takwimu za mwaka huu baada ya kibano.
Toka amenunua Mbeya Cement amemwaga pesa na Sasa kiwanda kimeanza kupata faida.#BIASHARA Mmiliki wa kampuni za Mbeya Cement na Camel, Edha Nahdi, amenunua kampuni kubwa zaidi ya saruji nchini Kenya kwa thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 260.
Ununuzi wa kampuni hiyo ya Kenya, Bamburi Cement, inayojulikana kwa uzalishaji wa saruji ya Tembo umefanywa kupitia kampuni ya AMSONS Group ambayo Nahdi ni Mkurugenzi Mtendaji.
Ununuzi huo wa kampuni ya Bamburi ambayo ina viwanda viwili kwenye miji ya Nairobi na Mombasa, utaifanya kampuni ya AMSONS kuwa mojawapo ya wawekezaji muhimu zaidi kwenye sekta ya saruji kwenye eneo la Afrika Mashariki.
Bamburi kwa sasa inazalisha wastani wa tani milioni 3.2 za saruji kwa mwaka na ukijumlisha na uzalishaji wa tani milioni 1.6 ambazo tayari zinazalishwa na AMSONS kupitia Mbeya Cement na Camel, uwezo wa kuzalisha saruji wa kampuni hiyo kwa sasa utafikia kiasi cha tani milioni 4.8 za saruji.
Hatua ya AMSONS kuingia kwenye biashara kwa kiwango hiki ni miongoni mwa hatua mpya kabisa kwenye uhusiano wa kiuwekezaji baina ya nchi za Afrika Mashariki. Kwa kawaida, wawekezaji kutoka Kenya wamekuwa wakiwekeza Tanzania kwa muda mrefu sasa lakini ununuzi huu wa Bamburi unaonyesha namna wawekezaji Watanzania wanavyoanza kuteka kibiashara nchi hiyo jirani.
Kampuni ya AMSONS ilianzishwa mwaka 2006 ikijulikana zaidi kwa biashara ya mafuta kupitia jina la Camel Oil lakini sasa imeingia kwenye biashara mbalimbali ikiwemo ya uzalishaji wa unga wa ngano na usafirishaji.
Vyombo vya habari vya Kenya na hasa kwenye mitandao ya kijamii vimeeleza kwamba jambo kubwa katika uwekezaji wa AMSON kununua kampuni ya Bamburi ni namna ilivyokubali kulipa gharama za ziada ili kufanikisha kukamilika kwa biashara hiyo.
#EastAfricaTV
View attachment 3039988
Yet both Uganda and Tz hamko Top 10 in Africa.Huge numbers come from Tanzania, Uganda and you simply package them as Kenyan.
Ww ushawah kuona Muhindi anaendesha club ya mpira duniani ??😁😁😁😁😁Kule viwandani kwake anawalipa vibarua elfu 2 kwa siku 😀
OaoToka amenunua Mbeya Cement amemwaga pesa na Sasa kiwanda kimeanza kupata faida.
Mwaka uliopita kilitoa Gawio baada ya miaka 10.
Anawekeza pesa ambapo kiwanda Cha Mbeya cement Sasa kinatarajia kuanza Kuzalisha Tani 1.5Mln.
Yah namfahamu.Mtoto WA oilcom 🤣🤣🤣
Mama amekopa sana haijulikani pesa zinakoenda 🤣🤣🤣
Kigoma 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9T8NiaCE9Y/?igsh=MTZneDMybDJxbzkyNQ==
Anatumia I'd nyingi humu, akipigwa ban hii anatumia ile, jamaa ni troll humu jf, nyuzi zote ndiyo yuko hivyo hivyo na ndiyo maana haupiti mwezi bila kupigwa ban, it seems jamaa bado haja mature hata kama ni mkubwa basi ni kubwa jinga.Hivi hamna namna huyo tukamripoti kwa mods wampige pini kuingia kwenye huu uzi?
Je unajua wamiliki WA mbeya cement 65% walikua hao hao wanaomiliki bamburi na ni wahindi??😁😁Toka amenunua Mbeya Cement amemwaga pesa na Sasa kiwanda kimeanza kupata faida.
Mwaka uliopita kilitoa Gawio baada ya miaka 10.
Anawekeza pesa ambapo kiwanda Cha Mbeya cement Sasa kinatarajia kuanza Kuzalisha Tani 1.5Mln.
Kwa nini nisilijue? Kwanza Serikali ndio ilikuwa inakwamisha ufanisi wa kiwanda,mama alilipa Madeni waliyokuwa wanadaiwa upande wa Serikali na kuwezesha kukwamua kiwanda.Je unajua wamiliki WA mbeya cement 65% walikua hao hao wanaomiliki bamburi na ni wahindi??😁😁
Serekali inamiliki 25% hvi Kama sijakosea hapo mbeya cement
Hilo unalijua lakini?????