Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arabs woke up and focused on using their God given natural resources to uplift the standards of their citizens… from Bahrain, Kuwait, UAE, Saudi..and now Egypt etc… sometimes I wonder why can’t Nigeria be on same level with all that black gold they possess…
Alafu tunaoneana husuda, imagine una mtu kama Dangote mwenye uwezo wa kujenga refinery unamuacha unaenda nje unakumbuka ukiwa ushafungwa na mikataba.

Ilitakiwa wizara ya mambo ya nje ya Nigeria iwe imejaa watu wa kila aina kufungua milango ya matumizi ya mafuta ya Nigeria nchi za Africa wakianza na ECOWAS, waje huku Africa mdogo mdogo hata kujenga refinery ya mkopo kufunga mikanda kunalipa.

Ila cha ajabu crude oil inaenda nje kuwa refined inarudi ndani hee.

Ngoja na sisi helium tuone itakuaje.
 
Arabs woke up and focused on using their God given natural resources to uplift the standards of their citizens… from Bahrain, Kuwait, UAE, Saudi..and now Egypt etc… sometimes I wonder why can’t Nigeria be on same level with all that black gold they possess…
Next things ni uchaguzi wa quality, mbona kuna majengo hapa bongo yanakaribiana Bei na UDSM new library ambayo ni ya viwango vya dunia ila wanawapa TBA wamekaa kizamani kujenga apartment building.

Ninaona pesa zinamwaga sehemu alafu ujuakali mwingi wakati hizo pesa sawa ukiipa kampuni nyingine inafyatua kitu vizuri, (Elimu kwa watu pia nchi za kiarabu hazioni haya kuleta watu wa nje kuwasaidia kupendezesha nchi, sio sisi tunaleta wasaidie tupate 10%).

Hata Africa hata kama ni masikini tunaweza fanya miji ionekane safi yenye mpangilio na utaratibu (Kigali imetupa mfano). Sema inahitaji collection ya wananchi.

Next, Waarabu wapo busy na kuleta watu ili walivyojenga visije baki magofu, imagine unajenga Machina Complex alafu unaruhusu machinga kuzagaa barabarani 😃
 
Kigali sio mfano kaka. Hakuna international infrastructure standards in kigali.. Ila imejitahidi . Wanachofanya waarabu in kitu tofauti kabisa, hakijawahi kutokea Africa Tangu iumbwe
 
Back
Top Bottom