Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo bajaj za city centre polisi wanachukua kitu kidogo kila bajaj 5000 kwa siku. Walioruhusiwa hapo mwanzo ni vilema wenye bajaj lakini cha ajabu zimeongezeka sana.

Wamiliki wa hizo bajaji ni viongozi.. Tena viongozi waandamizi kabisa wenye kusimamia na kutoa maamuzi... Sasa kama wamenunua bajiji na zinawaletea hesabu kila wiki sio rahisi wasimamie katazo la kuwa ruhusu kuingia mjini...

Kusikiliza sana watu na kelele zao ndio una fail kabisa... Mfano hapo kariakoo wanasema wa machinga watolewe... Wakitolewa wote hao hao wafanyabiashara watataka warudishwe maana ndio watu wao wa ku toa stock kiainaa...
 
Hivi Huwa unaongea nini wewe nyumbu? Mbona una mihemko ya kijinga sana?

Nimekwambia unapoandika uwe na utulivu wa akili sio kuandika kama standard 7.

Hakuna plan si ndio? Una uhakika au una ropoka tuu hujui kitu? Hakuna plan ya mambo mapya kwenye nini hasa nikuoneshe plan?
Weka hizo plan basi? Maana kila mwaka matatizo ni yale yale miaka mitatu yake.

Plan ya Bandari ilikuaje?
Plan ya vivuko vya Kigamboni iko wapi?
Plan ya BRT ipo wapi?
Plan ya Shilling inayoporomoka iko wapi?
 
We jamaa unanikera aisee!?
Unampigiaje mbuzi gitaa!?
Sometimes huenda akaamka hahaha. Anakera hata hivyo siwezi mblock asee maana sometimes anachopost hua nakitumia kuprove hoja za mama anavyofeli, or anavyofanya vizuri.

Upendo uenee
1000040823.png
 
Serikali ya jiji la Dar es Salaam ifanye kitu kuhusu hizi bajaji na bodaboda city centre na Mainroads.
Ndo tatizo lililobaki kufanya Dar es Salaam kuwa first world city.

Wapige ban importation ya Bajaji na bodaboda. Zilizopo zifanye biashara mitaani sio kwenye Mainroads na city centre.
Bajaji, Bodaboda zilizosajiliwa Bolt, uber zenye label na madereva wamevaa vizibao ndo waruhusuwe kuingia City Centre na Mainroads

eti nini? dar first world city??? kuna watu mko sooo out of touch, > 60% ya wakazi wa dar wanaishi chini ya dola 1/siku halafu unaongelea mambo ya first world city kwa kipato gani?
 
Bajaji na boda zipigwe ban zinaharibu mazingira japo ni kweli zimeajiri vijana wengi.
Ziondolewe main road itabidi tuwe wakweli bara bara zetu hazina category ya matumizi, ilitakiwa barabara moja ina required speed like 90kmh, hiyo barabara isiwe na uchafu wowote, hata Zebra hamna full vivuko, kingo ziwe fenced au kuwa juu, No Bajaji, No bodaboda, Hakuna gari ambayo watu wamekaa nje inaruhusiwa kupita, ukitaka kuingia mtaa wako kuna exit road (Expressway).

Kwa hapa Dar, Morogoro Road, Mandela Road, Samu Nujoma Road, Bagamoyo Road, Kilwa Road, Ile inayopita Magomeni kwenda Ilala Boma, Airport Gomz. Zinakidhi vizuri na zikifanyiwa kazi mbona foleni inapotea as long as Kila makutano kuna kitu kama ubungo Interchage ($200m kweli inatuzuzua kutoa mara 4 INTERCHANGE tu? TAZARA, MOROCCO, MWENGE, MAGOMENI KANISANI) Mbona zinazidi kwenye upigaji?
 
Wacha upumbavu na wewe kaa uelewe mada kwanza mtanganyika wa 90s.

kwa kweli hapo mimi nakubali ni “mpumbavu” kama dar itakuwa first world city kwa kuondoa boda boda, basi kuna kitu sielewi kuhusu maana ya first world city ni lazima nikiri …
 
eti nini? dar first world city??? kuna watu mko sooo out of touch, > 60% ya wakazi wa dar wanaishi chini ya dola 1/siku halafu unaongelea mambo ya first world city kwa kipato gani?
We unaona mji wa Dar uko sawa kweli na bajaji na bodaboda kila mahali tena mbaya zaidi hawafati sheria?
Halafu mnaongelea climate change...air pollution kuzimaliza..
Mnafikiria kumaliza ajali za ovyo ovyo...
Kuondoa traffic hapa Dar..

Najua mtakuja na mambo ya ajira kwa vijana. Lakin kimsingi nyinyi ni soko la real ajira wanazotengeneza serikali za asia kwa vijana wake. Ndo maana wanamualika hadi Rais huko india na kumtunuku vyeo ile Tanzania izidi kuwa soko la bajaji, pikipiki etc..

TUNAHITAJI VIONGOZI WANAOWAZA MBALI sio cheap politics za eti bodaboda/bajaji ni ajira.
Hizi resources zilizopo haipendezi kuingia dar kila kijana mwenye nguvu na akili ni bodaboda

Nimetoa solution juu hapo jinsi ya kufanya kudeal na bodaboda na bajaji za sasa

Kwa stage ya Dar ilipofikia hatupaswi hata kusajili Costa au Eicher kama daladala. Mabasi kama haya BRT hata nusu yake ndo ilibidi ziwe daladala hizo. Kigali wameweza hapa sisi tunafeli wapi?
2024 bado unasajili costa kama usafiri wa uma kwenye mji wa 8million people? Halafu utegemee foleni iishe?
 
You think hatukupinga?

Acha kushikiria akili kwamba sisi wote ni machawa hatuoni mema wala mabaya, upo free kupitia comments kipindi cha Magufuli.

Unajua kwanini tulimkubali sana, tuliona nchi ina kiongozi kabisa

Inshu yoyote anadili nayo kila kona ili next time haifurukuti tena inakua sustainable.

1. Madini (Sheria, na Mirahaba, masoko, ulinzi (mererarni)

2. Umeme (Tanesco ilikua imejaa watu wa umeme, JNHP, Ufufuaji kituo cha Ubungo, usimamizi wa uhakika) now unadhani tusingekua na JNHP tungekuaje?

3. Sukari (Kumpa bhakresa ardhi kubwa bagamoyo ili awekeze (Bagamoyo Sugar), Uanzishaji wa Mkulanzi Sugar)

4. Mlundikano wa Wagonjwa hospital (Ujenzi wa Hospital nchi nzima mpaka vijijini. I hope hutajisahaulisha zahanati kila kijiji, hapa mpe credit Mama kwa kusambaza vifaa not otherwise)

5. Export ya Agricultural goods (Ununuzi wa ndege, Machinjio ya kisasa, mapambano dhidi ya middlemen)

6. Mrundikano wa jiji (Going to Dom City, kuhamishia kila kitu kule)

Na ni mengi, now niambia Mama kuna tatizo gani kaliundia long term solution?

Kodi hamna plan mpya kabisa mnawaza tozo, migomo ya wafanyabiashara kila kukicha no plan anatumbua huyu anakuja mwingine inaendelea (Wakati hamjiulizi bandari ndio inasababisha pia migomo kutokana na gharama kua kubwa kushindwa mudu kupelekea kodi kuonwa adui pia).

Yaani kila tatizo likiibukwa now tunaona vituko tu, dola inaporomoka hakuna plan, viwanda vinaanza kuongezeka nchini ila hakuna plan ya kuvilinda matamko mengi. Ajabu inshu ikiibuka tunakodiwa Steve Nyerere, Manara, Kitenge, Mwinjaku, Baba levo, Dotto magari ndio watupigie kelele

Sometimes kaa chini tafakari kwa angle zote ndio uje utupigie kelele, sio utuletee kadaraja ka TARURA kupuliza Tarumbeta while major source of Government income inagawiwa ambayo results ni kodi kuongezeka na kuongeza another years of hopelessness.

Mtu kama mwingilu ana timu ya mpira ghali hapa kama kiongozi inaleta maana gani? Unajaza watu wasio na taaluma, nidhamu kazini hamna (why usifanyie test kwenda office ya serikali kupata huduma).

Mwambie mama awe leader sio manager wa nchi tutamfollow tu sababu ni Mtanzania mwenzetu.
Sasa hii miradi umetaja huyu msenge ana claim ni ya mama just imagine.
 
Wacha upumbavu na wewe kaa uelewe mada kwanza mtanganyika wa 90s.
Tatizo watu wanalichukua hilo janga la kitaifa la bodaboda na bajaji kisiasa sana.
Hawataki kuzifanyia kazi solution zinazotolewa kusolve tatizo. Wanakaza fuvu tu.

Mji wa Moshi uliokuwa mji mzr miaka ya zamani ukiwa na Daladala safi na zenye order leo hii mji mzima umejaa bajaji za india na bodaboda kama zote hadi unashindwa kuvuka Barabara.
Sasa hiv ni ngumu hata kuvuka Barabara kwa mji uliokuwa msafi.

Halafu wanajisifia vijana wamejiajiri
Sijui tunaelekea wap kama Tanzania
 
Back
Top Bottom