Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu rudia kusoma ile reply vzr.

Na solution imetolewa kabisa jinsi kurudisha order kwe city of Dar

walioleta disorder ndiyo leo hii wakwambie wataleta order? bodaboda zililetwa na awamu ya 4 kabla ya hapo pikipiki hazikuruhusiwa kubeba abiria wakapeleka bungeni na kubadilisha sheria wakaruhusu chaos leo hii wakambie wanataka kuleta order? isitoshe sioni rationale ya kuzuia bodaboda kuingia city center huku zikiendelea kuruhusiwa kwingine, kama ni no boda boda basi iwe kila mahali, wazuie bodaboda kubeba abiria nchi nzima …
 
Kwa jinsi Mudi alivyo relegate Kunyaland to junk category caa1 in creditworthiness I would love to see the terms of the loan for SGR construction from Nowhere to Malaba 😁
 
This guy is so unfit to run a country.
It’s an accidental slip of the tongue and he rectified it immediately… I know lately he’s under heavy public scrutiny after that awful debate… but this miscall is not one of them…..Trump has same issues too though more vigorous than Biden... it’s called old age…
 
walioleta disorder ndiyo leo hii wakambie wataleta order? bodaboda zililetwa na awamu ya 4 kabla ya hapo pikipiki hazikuruhusiwa kubeba abiria wakapeleka bungeni na kubadilisha sheria wakaruhusu chaos leo hii wakambie wanataka kuleta order? isitoshe sioni rationale ya kuzuia bodaboda kuingia city center huku zikiendelea kuruhusiwa kwingine, kama ni no boda boda basi iwe kila mahali, wazuie bodaboda kubeba abiria nchi nzima …
Hebu rudia kusoma ile reply ya kwanza vzr.

Wew hapa umelalamika tu. Hujatoa solution nyingine kupinga ile ya kwanza niliyotoa mimi. Hapa umetoa taarifa tu. Tumejua tatizo lilipoanzia sasa tunafanyaje kutoa tatizo.

Solution niliyotoa ni hii hapa...kama unasolution nyingine tutakusikiliza

"Wapige ban importation ya Bajaji na bodaboda. Zilizopo zifanye biashara mitaani sio kwenye Mainroads na city centre.
Bajaji, Bodaboda zilizosajiliwa Bolt, uber zenye label na madereva wamevaa vizibao ndo waruhusuwe kuingia City Centre na Mainroads"
 
Yani we acha tu,kuna muda unakaa unaona kabsa sisi ni Nchi ya kipumbavu sana na sijui nani alituloga…………sio mbaya kuanzia 2030 Watanzania tutaamka na ndio utakuwa Mwisho wa CCM na ushetani wake
 
eti nini? dar first world city??? kuna watu mko sooo out of touch, > 60% ya wakazi wa dar wanaishi chini ya dola 1/siku halafu unaongelea mambo ya first world city kwa kipato gani?
Hiyo $1 Tanzania, inanunua chakula kizuri na bora cha asili kuliko chakula cha $30 nchi za magharibi. Usibabaike sana na kipimo vya chini ya $1, angalia hiyo $1 inaweza kununua nini katika nchi husika.
 
Northland City
IMG_20240712_081741.jpg
IMG_20240712_081747.jpg
IMG_20240712_081739.jpg
 
Barabara za mitaa ya Nairobi mnayosifiwa kila siku na wazungu.
Mimi nasema kila siku ukiondoa Uptown Nairobi kwenye horizontal infrastructure Nairobi ni kijiji kilichochangamka na udongo wake mwekundu.
Hapa ni Roysambu km chache tu kutoka Nairobi CBD

View: https://youtu.be/U4UyD4T0CKc?si=n4aVUeLiYKd_3cu-

Wewe ambaye hujawai fika Nairobi unasema Barabara za Nairobi ni mbovu kuliko za Dar, wale waliofika Nairobi na Dar wanasema za Nairobi ni Bora kuliko za Dar. Tuamini nani?
 
hapana, boda boda hazikupaswa kuruhusiwa in first place, hoja yangu ni kwamba kwa nini tu zizuiwe city center na siyo kila mahali?
Wanataka kuondolewa city center sababu zinachafua taswira ya jiji, kuleta chaos, unawajua boda wao kila sehemu ni barabara.

Kingine ukisoma vizuri tumekataa hadi bajaji, pia barabara kuu ziondoke ziwe barabara za mitaani tu.
 
It’s an accidental slip of the tongue and he rectified it immediately… I know lately he’s under heavy public scrutiny after that awful debate… but this miscall is not one of them…..Trump has same issues too though more vigorous than Biden... it’s called old age…
Ila we jamaa hahaha 🤣 🤣 upo vizuri kweli unaona Biden ukimuona kabisa unajua hapo hakuna mtu ni wa kuanikwa juani.
 
Arabs woke up and focused on using their God given natural resources to uplift the standards of their citizens… from Bahrain, Kuwait, UAE, Saudi..and now Egypt etc… sometimes I wonder why can’t Nigeria be on same level with all that black gold they possess…
It needs collective efforts both viongozi na wananchi sio simple asee, Viongozi wanaweza pania ila wananchi wakaanza kuona eti mirija inakatwa wakatumiwa na wa nje kueneza misinformation na kuleta chokochoko plus Maandamano, hadi kuweaken nchi kupelekea investor kula kona.

In arabs world kidogo wanajitambua ukiondoa wale wapumbavu wa LIBYA.
Hakuna uchawa kabisa.

Hata Tanzania huoni tuna kila Mali tulikua hatunufaiki, ila utawala wa Magufuli ukaanza kuunda sheria zinazofanya tunufaike, alafu utawala unaofata ukaanza kutaka kuzibadili ili wa nje wanufaike na Bungeni Oyeee, machawa oyeee.

Nchi nyingi zilizopata maendeleo kutoka umasikini zina sifa moja kufa na kupona wanamiliki 100% ya Rasmali yao kuu. Hata iweje.

Africa tunawaza kugawagawa wawekezaji wa kijinga wasio na manufaa makubwa ukilinganisha na zingekua na full control ya Wananchi or 50/50
 
Back
Top Bottom