Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilichofanya hapa ni kukueleza hali halisi. Hayo ya Kenya yakija nikakosea una ruhusa ya kuweka ukweli.
Hali halisi ya Kenya ni kwamba JKIA inamilikiwa na serikali ya Kenya na inaendeshwa na serikali ya Kenya. Port yenu na BRT zinaendeshwa na foreigners. Hilo ndilo unafaa kuongelea.
 
Hali halisi ya Kenya ni kwamba JKIA inamilikiwa na serikali ya Kenya na inaendeshwa na serikali ya Kenya. Port yenu na BRT zinaendeshwa na foreigners. Hilo ndilo unafaa kuongelea.
BRT ipi inaendeshwa na foreigner? Port ipi inaendeshwa na foreigner? Unaijua TPA, hii ndio inaendesha port yetu. Zingatia neno Port.
 
Nani kasema sio Uzi wa siasa? Kipi kinawekwa humu sio Cha siasa? 🤣🤣🤣

Akisigiwa Samia ni siasa,mkimponda sio siasa 🤣🤣🤣🤣🤣

Very interesting.Ni hivi nikikukera unakausha na Kupitia kushoto.

By the way mtajinunisha wewe harafu mnaanza kunifuata wenyewe, yaani wewe unadandia treni Kwa mbele wenzako hawajaanza Leo Toka Magufuli akiwa hai nawapelekea spana tuu.

Dodoma Kazi inaendelea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9SOWzrN4MT/?igsh=MW1tZmgxcngwcDJodg==View attachment 3039590View attachment 3039591View attachment 3039592

We mwehu fanya hivi kila mradi wako unaomsukumizia mama sifa kasome ulijengwa lini na mkataba ulisainiwa lini ndio uelewe?

Miradi ya Mama tunayoijua aliyoanza Nayo.

1. Kugawa Bandari
2. Kugawa BRT
3. BBT Kilimo
4. Uwanja wa Arusha (Hatuusikii)
5. Samia fund (Za Wanachuo)
6. Double Taxation na Tozo juu
7. Kupeleka kubadili sheria bora zaidi ya Tanzania (Permanent Sovereignty)
8. Ujenzi wa Barabara ambao hauridhishi unasua sua kila kukicha.
9. Mabango Nchi nzima yenye full miradi ya Ngosha
10. Uchawa (kutoangalia masilahi ya nchi bali kusifia tu ujinga)
11. Vipaumbele vya Ovyo (Imagine unanunua Gari la 400 mil) while barabara inayoenda eneo la Matajiri (Kimweri Road, Haile Selassie) ni full mashimo na haifai kuwa mjini).

Kwanza hizo mbili alionesha Serikali haiwezi, Tumeichagua serikali isimamie Rasimali za Nchi sio kuzigawa.

Kitu pekee naweza kumpa kongole ni Kuendeleza miradi iliyoachwa, siwezi kua mnafiki nakubali hapo.

Nawe acha ujinga kuleta vijngo vya wilaya na mikoa wakati ilisiginiwa zamani na aliyepita,

Masoko Nchi nzima
Vituo Vya Afya Nchi nzima
Majengo ya Watumishi nchi nzima.

Usitufanye hatujui aliyesainisha na kupitisha ujenzi. Ilitakiwa useme kugawa vifaa vya matibabu sawa.

Shida yako unadhani mama akifanya vizuri kwenye uongozi tutamkandia?

Kwamba uoneshe hujui kusimamia shughuli za umma alafu tuseme unajua na tukusifie big no.

Even Magufuli tulikereka na Wamachinga.
 
Nani kakwambia DPW wanaendesha Dar Port?
Mambo yapo wazi unataka kuleta ubishi?

 
Niletee ushahidi wa pesa zilizokopwa Kwa Ajili ya hizo lots kwanza ,usikimbie


 
Kwamba tunaona fahari kukutana na Putin wakati kwa sasa Putin hata panya machinga kumtembelea toka Nchi za Africa na Asia atazipokea.Je Hali ilikuwa hivyo kabla ya mgogoro jibu ni hapana yupo matatizoni anatafuta huruma ya ulimwengu tu.
Nadhani uonaongea kutokana na u pro west wako. But the truth is the most strongest leader in the world kwa sasa Xi na Putin. Also usiichukulie Russia kama Burundi.
 

Kenge wewe yaani watu wameenda kubembeleza wafadhili wapate hela lakini wakaishia kupata pledges.Kwa hiyo pledges ndio hela? 🤣🤣🤣🤣

Nioneshe pesa ya Mkopo wa hizo lots ikisainiwa kati ya Serikali na wakopeshaji vinginevyo usinichoshe kujibu ujinga wako.
 
Kenge wewe yaani watu wameenda kubembeleza wafadhili wapate hela lakini wakaishia kupata pledges.Kwa hiyo pledges ndio hela? 🤣🤣🤣🤣

Nioneshe pesa ya Mkopo wa hizo lots ikisainiwa kati ya Serikali na wakopeshaji vinginevyo usinichoshe kujibu ujinga wako.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Niletee ushahidi kua lot 3 and 4 and 6 zinajengwa kwa pesa za ndani mm nafunga ACC SASA hvi
 
Back
Top Bottom