NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,393
- 17,974
Ujenzi unaendelea japo Kwa kusua sua, kipaombele Kwa Sasa ni lot 5 but Kwa kumalizika Kwa lots 2 za Mwanzo kunatoa nafasi Kwa lots zilizosalia.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Niletee ushahidi kua lot 3 and 4 and 6 zinajengwa kwa pesa za ndani mm nafunga ACC SASA hvi
Umesahau kitu kimoja Tu, mikopo ya kutisha kakakopa pesa nyingi kwa miaka 3 kuliko awamu zote 5 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣We mwehu fanya hivi kila mradi wako unaomsukumizia mama sifa kasome ulijengwa lini na mkataba ulisainiwa lini ndio uelewe?
Miradi ya Mama tunayoijua aliyoanza Nayo.
1. Kugawa Bandari
2. Kugawa BRT
3. BBT Kilimo
4. Uwanja wa Arusha (Hatuusikii)
5. Samia fund (Za Wanachuo)
6. Double Taxation na Tozo juu
7. Kupeleka kubadili sheria bora zaidi ya Tanzania (Permanent Sovereignty)
8. Ujenzi wa Barabara ambao hauridhishi unasua sua kila kukicha.
9. Mabango Nchi nzima yenye full miradi ya Ngosha
10. Uchawa (kutoangalia masilahi ya nchi bali kusifia tu ujinga)
11. Vipaumbele vya Ovyo (Imagine unanunua Gari la 400 mil) while barabara inayoenda eneo la Matajiri (Kimweri Road, Haile Selassie) ni full mashimo na haifai kuwa mjini).
Kwanza hizo mbili alionesha Serikali haiwezi, Tumeichagua serikali isimamie Rasimali za Nchi sio kuzigawa.
Kitu pekee naweza kumpa kongole ni Kuendeleza miradi iliyoachwa, siwezi kua mnafiki nakubali hapo.
Nawe acha ujinga kuleta vijngo vya wilaya na mikoa wakati ilisiginiwa zamani na aliyepita,
Masoko Nchi nzima
Vituo Vya Afya Nchi nzima
Majengo ya Watumishi nchi nzima.
Usitufanye hatujui aliyesainisha na kupitisha ujenzi. Ilitakiwa useme kugawa vifaa vya matibabu sawa.
Shida yako unadhani mama akifanya vizuri kwenye uongozi tutamkandia?
Kwamba uoneshe hujui kusimamia shughuli za umma alafu tuseme unajua na tukusifie big no.
Even Magufuli tulikereka na Wamachinga.
Leta ushahidi ujenzi unaendelea tuone pesa katoa kwenye Kodi zetu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ujenzi unaendelea japo Kwa kusua sua, kipaombele Kwa Sasa ni lot 5 but Kwa kumalizika Kwa lots 2 za Mwanzo kunatoa nafasi Kwa lots zilizosalia.
Ndio.kwsnza mwaka Mpya wa Fedha umeanza unaleta nongwa za kijinga.
Mwisho leta hapa mikopo ya lots hizo unazosema Serikali imechukua pesa nyingi,onyesha hizo pesa 🤣🤣🤣🤣
Dah! Niliisaka hii asee shukurani kaka.Mambo yapo wazi unataka kuleta ubishi?
![]()
DP WORLD SIGNS 30-YEAR CONCESSION TO OPERATE MULTI-PURPOSE DAR ES SALAAM PORT IN TANZANIA
DP World has signed a 30-year concession agreement with the Tanzania Ports Authority (TPA) to operate and modernise the multi-purpose Dar es Salaam Port, connecting Tanzania and the wider region to global markets. The concession agreement was signed today between Mr Plasduce Mkeli Mbossa...www.dpworld.com
Umeshindwa kuonesha pesa zilizokopwa Sasa umehamisha goli 🤣🤣🤣🤣🤣Leta ushahidi ujenzi unaendelea tuone pesa katoa kwenye Kodi zetu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe usifkiri watanzania wajinga mzee
Hivi wewe kima hapa ndio umeandika nini? 🤣🤣🤣🤣🤣We mwehu fanya hivi kila mradi wako unaomsukumizia mama sifa kasome ulijengwa lini na mkataba ulisainiwa lini ndio uelewe?
Miradi ya Mama tunayoijua aliyoanza Nayo.
1. Kugawa Bandari
2. Kugawa BRT
3. BBT Kilimo
4. Uwanja wa Arusha (Hatuusikii)
5. Samia fund (Za Wanachuo)
6. Double Taxation na Tozo juu
7. Kupeleka kubadili sheria bora zaidi ya Tanzania (Permanent Sovereignty)
8. Ujenzi wa Barabara ambao hauridhishi unasua sua kila kukicha.
9. Mabango Nchi nzima yenye full miradi ya Ngosha
10. Uchawa (kutoangalia masilahi ya nchi bali kusifia tu ujinga)
11. Vipaumbele vya Ovyo (Imagine unanunua Gari la 400 mil) while barabara inayoenda eneo la Matajiri (Kimweri Road, Haile Selassie) ni full mashimo na haifai kuwa mjini).
Kwanza hizo mbili alionesha Serikali haiwezi, Tumeichagua serikali isimamie Rasimali za Nchi sio kuzigawa.
Kitu pekee naweza kumpa kongole ni Kuendeleza miradi iliyoachwa, siwezi kua mnafiki nakubali hapo.
Nawe acha ujinga kuleta vijngo vya wilaya na mikoa wakati ilisiginiwa zamani na aliyepita,
Masoko Nchi nzima
Vituo Vya Afya Nchi nzima
Majengo ya Watumishi nchi nzima.
Usitufanye hatujui aliyesainisha na kupitisha ujenzi. Ilitakiwa useme kugawa vifaa vya matibabu sawa.
Shida yako unadhani mama akifanya vizuri kwenye uongozi tutamkandia?
Kwamba uoneshe hujui kusimamia shughuli za umma alafu tuseme unajua na tukusifie big no.
Even Magufuli tulikereka na Wamachinga.
Kaka alafu nimeona unasema tumeuza. Well let me tell you something, I hope umenotice naongelea Permanent Sovereignty law humu, Ni sheria Magufuli aliipitisha, Like Ardhi yetu, now Rasmali zote za Tanzania haziwezi milikiwa na mwingine for 100% only government has Permanent Sovereignty nazo. so haiwezekani kabisa, hata uuziwe ni bure serikali nyingine itakuja inakutimua na usifanye chochote maana yenyewe ndio mmiliki.Mambo yapo wazi unataka kuleta ubishi?
![]()
DP WORLD SIGNS 30-YEAR CONCESSION TO OPERATE MULTI-PURPOSE DAR ES SALAAM PORT IN TANZANIA
DP World has signed a 30-year concession agreement with the Tanzania Ports Authority (TPA) to operate and modernise the multi-purpose Dar es Salaam Port, connecting Tanzania and the wider region to global markets. The concession agreement was signed today between Mr Plasduce Mkeli Mbossa...www.dpworld.com
Unazingua sana kama mama anajua anachofanyaHivi wewe kima hapa ndio umeandika nini? 🤣🤣🤣🤣🤣
Usiandike kitu kama ume panic maana unaonekana huna stability ya Akili Wala emotions.
Kama unataka Ligi,tuanze sekta Moja baada ya nyingine,Mkoa mmja baada ya mwingine Ili unioneshe vizuri hicho unachodai kilisainiwa huko nyuma.
Tunaanza na Mbeya
-Mama kaleta mradi wa Bilioni 250
-Barabara Njia 4 zaidi ya Bilioni 150
-Tactic Zaidi ya Bilioni 25
-Kajenga Hospital Mpya za Wilaya Kila Halmashauri
Mambo ni mengi mda ni mchache maana miradi ni ya kumwaga Idadi ya miradi mikubwa inayotekelezwa na Rais Samia mkoani Mbeya
Na wewe eleza Magufuli alifabya kipi Cha maana Mbeya zaidi ya Jengo la Wodi Meta na hakumaliza?
Umeshindwa kuonesha mikopo ya Sgr umekuja kujifariji huku 🤣🤣🤣🤣🤣Umesahau kitu kimoja Tu, mikopo ya kutisha kakakopa pesa nyingi kwa miaka 3 kuliko awamu zote 5 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama Madini yanatoa pesa ,hii mikopo ilikuwa ya nini? 🤣🤣🤣🤣👇👇Unazingua sana kama mama anajua anachofanya
Vivuko vipo wapi vile vya Kigamboni?
BRT ipo Wapi?
Mikopo yote ya nini ikiwa Madini yanatoa pesa, Mazao yanatoa pesa, Makusanyo kama yooote, Tozo kama zoote?
Why alitaka badili sheria ya permanent sovereignty kama anaipenda au ana nia njema na nchi?
Eti vimradi hata havifiki 1trilion. Tukuletee bei ya miradi ya Mzee baba?
Mlizoea vimemo Kupitisha mizigo bila kulipia kodi si ndio? DP World atakomesha huo upuuzi.NairobiWalker kama Unavyoona Azam alivyo kwenye vivuko vya Kigamboni. Ndivyo huyo DP World alivyo kule Bandarini ati end of Day TEMESA, TASAC wakiamua Azam Hana chake.
Inshort ni huyu mama ndie kashindwa kazi analeta wengine wafanye kazi yake.
Ndio maana huyu chawa anatukera na ujinga anaopost.
Usiwasingizie Watanzania,jitaje wewe na wajinga wenzako.👇👇Watanzania wamemchoka na hawamuhitaji huyo Bi’Kirembwe
Wengi wanao mkubali ni Machawa kama nyie mnaokesha usiku,mchana na ata jioni kumsifia ili mpate kiasi chochote cha fedha
Upo kazini kaka Mkubwa wala ata hunishtui kwa hilo,kazi njema ila ipo siku Watanzania tutaamka na kuikataa hiyo CCM wazi wazi
Yakitokea Kenya kivipi wakati serikali yenu hakuna kitu inajenga? Over 99% ya miradi yote Kenya ni ya foreigners.Unayaelewa haya ila yakitokea Kenya (Ambapo hayajatokea) unasema hiki kimeuzwa ila yakitokea Tanzania unaita waendeshaji?
Huna akili wewe.DP world is a joke to you?
Tanzania ni nchi ya ajabu sukari kilo elf 10 alaf waziri bado Yuko ofisini 🤣🤣🤣🤣🤣 tena Bunge zima linamtetea kabisaWatanzania wamemchoka na hawamuhitaji huyo Bi’Kirembwe