Moja ni official visit Ikulu Moscow hiyo ya Tulia ni St Petersburg on the sidelines of BRICS meeting.
Moja ni official visit Ikulu Moscow hiyo ya Tulia ni St Petersburg on the sidelines of BRICS meeting.
Sasa hivi mambo kwa jirani hayaendi huu ndio muda wa kununua Kenya tubadilishe mindset zao 😁Tofauti ya uwekezaji wao kwetu na uwekezaji wetu kwao ni mbingu na ardhi.
Yeye ni berth au terminal operator.DP world is a joke to you?
Nimefurahi uko salama nilikulizia sana 😄Sijambo, niko bado, hatufi virahisirahisi hivi.
What’s the use of light on a tope street? Au akili imejaa mavi?Am in these village in Western Kenya and the wonder is, it has street lights!!!
View attachment 3040377
Ila bodaboda hapo ni kinyaa!Alafu huu mtaa utawaka sana, nimeona Polisi pale pigwa pavements na fensi safi, TRA wanarenovate jengo lao, Station ya zamani under major renovation pamoja na MGR rails, Waterfront nayo under major renovation, yaani ni renovation side to side, sasa tunawakumbusha tena ndugu zetu na ile picha ya eneo hilo walikuwa wanatutukania, waitunze kabisa kwenye archieve waje kuwaambia wajukuu zao namna in two years that place changed its face to the level they can’t comprehend, waitumie kuwaambia namna miujiza hutokea, itunzeni hiyo picha msidelete…..😅😅😅
Usiwasingizie Watanzania,jitaje wewe na wajinga wenzako.👇👇
View: https://twitter.com/BakizaHamiss/status/1811652738595320110?t=3IjcnmPUYD1R9pXdGa3Vbg&s=19
Unawezaje Sasa kumchoka anaeleta maendeleo Kwa mfano? Unakuwa unataka nani? Majungu na fitina sio mtaji.
Mwisho chawa ndio nini? Ulitaka tumsifie mama Yako? Kwa kipi alichofanya? 👇👇
View: https://twitter.com/habari_zetu/status/1811655170364674439?t=nOwvYV5wt0gXYRJ2i7_pug&s=19
Wakati Magufuli anatoa zilikuwa zinatoka mfukoni kwake? Mama anaendeleza alipoishia 🤣🤣Hizo pesa zinatoka Mfuko wake? Mpaka mziite Samia atoa?
You think hatukupinga?Wakati Magufuli anatoa zilikuwa zinatoka mfukoni kwake? Mama anaendeleza alipoishia 🤣🤣
So unataka nimwamini Mwigilu ambaye ameprove hajui kitu hapo wizarani?Kama Madini yanatoa pesa ,hii mikopo ilikuwa ya nini? 🤣🤣🤣🤣👇👇View attachment 3040246View attachment 3040248View attachment 3040249
Jibu swali,kama Madini yalikuwa yanatoa pesa,hiyo mikopo awamu ya 5 ilikuwa inakopwa Kwa Ajili gani?So unataka nimwamini Mwigilu ambaye ameprove hajui kitu hapo wizarani?
Hivi Huwa unaongea nini wewe nyumbu? Mbona una mihemko ya kijinga sana?You think hatukupinga?
Acha kushikiria akili kwamba sisi wote ni machawa hatuoni mema wala mabaya, upo free kupitia comments kipindi cha Magufuli.
Unajua kwanini tulimkubali sana, tuliona nchi ina kiongozi kabisa
Inshu yoyote anadili nayo kila kona ili next time haifurukuti tena inakua sustainable.
1. Madini (Sheria, na Mirahaba, masoko, ulinzi (mererarni)
2. Umeme (Tanesco ilikua imejaa watu wa umeme, JNHP, Ufufuaji kituo cha Ubungo, usimamizi wa uhakika) now unadhani tusingekua na JNHP tungekuaje?
3. Sukari (Kumpa bhakresa ardhi kubwa bagamoyo ili awekeze (Bagamoyo Sugar), Uanzishaji wa Mkulanzi Sugar)
4. Mlundikano wa Wagonjwa hospital (Ujenzi wa Hospital nchi nzima mpaka vijijini. I hope hutajisahaulisha zahanati kila kijiji, hapa mpe credit Mama kwa kusambaza vifaa not otherwise)
5. Export ya Agricultural goods (Ununuzi wa ndege, Machinjio ya kisasa, mapambano dhidi ya middlemen)
6. Mrundikano wa jiji (Going to Dom City, kuhamishia kila kitu kule)
Na ni mengi, now niambia Mama kuna tatizo gani kaliundia long term solution?
Kodi hamna plan mpya kabisa mnawaza tozo, migomo ya wafanyabiashara kila kukicha no plan anatumbua huyu anakuja mwingine inaendelea (Wakati hamjiulizi bandari ndio inasababisha pia migomo kutokana na gharama kua kubwa kushindwa mudu kupelekea kodi kuonwa adui pia).
Yaani kila tatizo likiibukwa now tunaona vituko tu, dola inaporomoka hakuna plan, viwanda vinaanza kuongezeka nchini ila hakuna plan ya kuvilinda matamko mengi. Ajabu inshu ikiibuka tunakodiwa Steve Nyerere, Manara, Kitenge, Mwinjaku, Baba levo, Dotto magari ndio watupigie kelele
Sometimes kaa chini tafakari kwa angle zote ndio uje utupigie kelele, sio utuletee kadaraja ka TARURA kupuliza Tarumbeta while major source of Government income inagawiwa ambayo results ni kodi kuongezeka na kuongeza another years of hopelessness.
Mtu kama mwingilu ana timu ya mpira ghali hapa kama kiongozi inaleta maana gani? Unajaza watu wasio na taaluma, nidhamu kazini hamna (why usifanyie test kwenda office ya serikali kupata huduma).
Mwambie mama awe leader sio manager wa nchi tutamfollow tu sababu ni Mtanzania mwenzetu.