Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uzi sio wa siasa,habari za siasa peleka kwenye jukwaa la siasa,huko ukamsifie mama anavyoupiga utakavyo
Nani kasema sio Uzi wa siasa? Kipi kinawekwa humu sio Cha siasa? 🤣🤣🤣

Akisigiwa Samia ni siasa,mkimponda sio siasa 🤣🤣🤣🤣🤣

Very interesting.Ni hivi nikikukera unakausha na Kupitia kushoto.

By the way mtajinunisha wewe harafu mnaanza kunifuata wenyewe, yaani wewe unadandia treni Kwa mbele wenzako hawajaanza Leo Toka Magufuli akiwa hai nawapelekea spana tuu.

Dodoma Kazi inaendelea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9SOWzrN4MT/?igsh=MW1tZmgxcngwcDJodg==
wizara_ya_uchukuzi_172070865730434.jpg
wizara_ya_uchukuzi_1720708657304424.jpg
wizara_ya_uchukuzi_1720708657304932.jpg
 
Wacha umbumbumbu,wapi ukiambiwa kwamba hela zinakopwa Kwa Ajili ya lots ulizotaja?

My Take: Katika kitu kinanifurahisha na kunipa Raha ni kuona mnavyopata tabu na awamu ya 6 😁😁😁😁

Yule mwingine wa Umeme Yuko wapi? Alitumbuliwa au? 🤪🤪
Kijana wangu, kama umeumiss sana mtalimbo wangu mpk unaniwaza, niambie tu nikutumie tena ticket ya ndege uje tena kuubong'olea
 
Back
Top Bottom