ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Zipi hizo zilizokopwa zinatisha? Ziweke hapaTunataka kuona zile fedha zakutisha ziliokopwa za lot 3,4 and 6 za SGR ππππππ
Ukipata any update let me knowπππ
SASA ni over 2yrs update ziko wapi???
Hope umeelewa what I mean, kama haturuhusiwi kukosoa mutuambie ili tuendelee kusifia kuona nchi sukari inafika elf kumi kwa kilo na bado waziri WA kilimo Yuko ofisini ππππππ
Yamefunguliwa lkn bado hayajakamilika, japo magari yanapita juu lkn bado kukamilika na sijui yatakamilika lini mana hamna kinachoendelea.Yale madaraja ya vingunguti,majumba 6 na gomes yashafunguliwa walihaidi 10 july kuyafungua yan jana?
Kwa SASA amson group wamenunua only 65% ya shares mbeya cementKwa nini nisilijue? Kwanza Serikali ndio ilikuwa inakwamisha ufanisi wa kiwanda,mama alilipa Madeni waliyokuwa wanadaiwa upande wa Serikali na kuwezesha kukwamua kiwanda.
Sasa kinaleta mabilioni na kutoa csr Kwa Wilaya husika
Mimi ni mtu Maarufu jf,Kila mada ya siasa lazima wani tag ,nisipokuwepo jf inapoa π€£π€£Anatumia I'd nyingi humu, akipigwa ban hii anatumia ile, jamaa ni troll humu jf, nyuzi zote ndiyo yuko hivyo hivyo na ndiyo maana haupiti mwezi bila kupigwa ban, it seems jamaa bado haja mature hata kama ni mkubwa basi ni kubwa jinga.
Leta ushahidi hzo lot 3, 4 na 6 zimejengwa kwa pesa za ndani nasubiria hapaππππZipi hizo zilizokopwa zinatisha? Ziweke hapa
Niletee ushahidi wa pesa zilizokopwa Kwa Ajili ya hizo lots kwanza ,usikimbieLeta ushahidi hzo lot 3, 4 na 6 zimejengwa kwa pesa za ndani nasubiria hapaππππ
Au tuendelee kusifia tu
Saanaaa.Ila METL magumashi Sana π π π π
Sawa tuu kikubwa si kiwanda kimefufuka na kinaleta pesa.Kwa SASA amson group wamenunua only 65% ya shares mbeya cement
Kuna kunyan washasema hersi ni wa kwaoNgoja tuwape hawa nyangau darsa la football π
![]()
Yanga Boss Hersi Said Invites Gor Mahia Chairman Ambrose Rachier for Modern Management Lessons
Yanga has become a formidable force in African football by adopting a modern-thinking approach. Gor Mahia chairman Ambrose Rachier is scheduled to meet Yanga officials later this week to learn from their success. Ambrose Rachier, chairman of Gor Mahia, has announced plans to meet with officials...zipo.co.ke
Una ushahidi au unazungumza hovyo kama nyangβau?β¦wakati kwenu mmeuza Port, mmeuza BRT, mmeuza National parks na bado mnaendelea kuuza.
Mpuuzi sanaAnatumia I'd nyingi humu, akipigwa ban hii anatumia ile, jamaa ni troll humu jf, nyuzi zote ndiyo yuko hivyo hivyo na ndiyo maana haupiti mwezi bila kupigwa ban, it seems jamaa bado haja mature hata kama ni mkubwa basi ni kubwa jinga.
Tofauti ya uwekezaji wao kwetu na uwekezaji wetu kwao ni mbingu na ardhi.Imekaa poa sana hii, hawa wakenya tunawanyoosha mdogo mdogo wataelewa tu
Oao
Kuuza ina maana mpya siku hizi. Ngoja nikupe elimu.Hivi unajua huyo huyo muhindi ndiye anayemilika Port of Dar? Yani unashare yetu yenye tumegundua utapeli tukasimamisha wakati kwenu mmeuza Port, mmeuza BRT, mmeuza National parks na bado mnaendelea kuuza.
Unayaelewa haya ila yakitokea Kenya (Ambapo hayajatokea) unasema hiki kimeuzwa ila yakitokea Tanzania unaita waendeshaji?Kuuza ina maana mpya siku hizi. Ngoja nikupe elimu.
BRT kuna kitu kinaitwa DART hii ni mali ya serikali. Inamiliki njia na miundombinu yote ya mwendokasi. Halafu kuna UDART huyu ni mwendeshaji wa mabasi(serikali ina share kubwa) huyu analipia njia hela nyingi sana. Kwenye bandari naamini unajua umeamua tu kuzingua.
Unayaelewa haya ila yakitokea Kenya (Ambapo hayajatokea) unasema hiki kimeuzwa ila yakitokea Tanzania unaita waendeshaji?
Nilichofanya hapa ni kukueleza hali halisi. Hayo ya Kenya yakija nikakosea una ruhusa ya kuweka ukweli.Unayaelewa haya ila yakitokea Kenya (Ambapo hayajatokea) unasema hiki kimeuzwa ila yakitokea Tanzania unaita waendeshaji?