ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,413
- 85,225
Umepotea sana ,sikuoni ukileta vichambo vyako Kwa sa 💯🤣🤣Kijana wangu, kama umeumiss sana mtalimbo wangu mpk unaniwaza, niambie tu nikutumie tena ticket ya ndege uje kuubong'olea
Umepotea sana ,sikuoni ukileta vichambo vyako Kwa sa 💯🤣🤣Kijana wangu, kama umeumiss sana mtalimbo wangu mpk unaniwaza, niambie tu nikutumie tena ticket ya ndege uje kuubong'olea
Maadmin walipige ban tuuu ka anapendq hizo # zake aende jukwaa la siasaKumuignore aisaidii,huyo apigwe pin kuingia humu
Kwani jamaa ni mchicha mwiba 😅😅😅Kijana wangu, kama umeumiss sana mtalimbo wangu mpk unaniwaza, niambie tu nikutumie tena ticket ya ndege uje tena kuubong'olea
Tuliza kalio sindano ipenye vzr, usitikisike plz itakatikia ndani 😅😅😅😅😅And kila kitu hapa kiko Kenya pia and on top of that have you seen the instagram viral video people being asked a sarcastic question what’s the capital of Africa and 75% of the responses were either Kenya or Nairobi… let that sink in…🤣🤣🤣
Hata ule uwanja waliochezea robo fainali jana una running trackEuro 2024 final between Spain and England will be held at Berlin Olympic stadium.
A stadium with running track.
ohk labda mpaka makutano ya kawawa road! Ila pale Buguruni malapa si pembamba kweli?Kuna sehemu wameacha nafasi kubwa Sana mzee hebu karibu kupita hio Barabara ukione🤣🤣🤣
Nilisema hata juzi yaani wanakera hatari,ni TBA hao 😁😁Hawa architects wetu ni hovyo kabisa