Kule viwandani kwake anawalipa vibarua elfu 2 kwa siku 😀😅😅😅😅😅😅 Muhindi WA billion 20
Alikuwa Ethiopia na Sasa Yuko Guinea.
Hater watakwambia Sa 💯 anazulula sana 😁😁👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9RrhlsKVHe/?igsh=cW5kdmV0d3ZtYjJ6
My Take: Tegemeeni Mambo mazito kutoka huko.ikiwemo ushindi wa Ndungulile kuwa Mkurugenzi wa WHO Africa.
Yule anayewadanganya opening and closing ceremonies zinaweza fanywa kwenye pitch haina running tracks aliwabeba ufala Wakenya!Euro 2024 final between Spain and England will be held at Berlin Olympic stadium.
A stadium with running track.
Huge numbers come from Tanzania, Uganda and you simply package them as Kenyan.Kenya doubles rest of Africa.. the green gold baby!!
Hakubaliki na nani Sasa? Pili kwani lazima akubalike na Kila mtu? Tatu nani anaekubalika?Wewe Khama Kama
Yani we jamaa Abdul na mama yake wanakulipa vizuri sana Ila tambua kabisa Huyo unaye msifia kwa ground hakubaliki kabisa
Usipoteze nguvu zako na asipojitafakari hii nchi 2025 kutatokea msuguano mkubwa sana
Mko hapo sababu ya Tzn,tukishamaliza kujenga viwanda vya maghala ya packaging Tanzania ni namba 1.Kenya doubles rest of Africa.. the green gold baby!!