Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu kuna kitu nimenotice naomba kujua why?

Kampuni Zilizoanzishwa Tanzania zikawa kubwa nowdays zimehamisha HQ Dubai yaani kama sielewi.

1. Mount Meru (Meru Oil)
2. Primefuel.

Mwenye elimu ya uchumi atusaidie.
 
Huu mtindo sio kipimo sahihi cha uchumi.
Maana hiyo Ethiopia ni inanuka umasikini na njaa.
Naafiki.
Unakuta muuza mitumba anabudget ya TZS 10,000 nyumbani kwake, on the other side kuna mtu kijijini ana heka moja tu, ng'ombe 2, mbuzi 3 na kuku 6. Hapo kwenye heka anavuna ndizi, mboga za majani za kila aina, matunda, mahindi, maharage, n.k ambapo mara nyingi akitoa pesa ni kununua nyama na viungo vya chakula.
Sasa hicho chakula anacholisha familia huyo bush man ukimuuzia muuza mitumba inawezakua zaidi ya 10,000 kwa milo yote ya siku.
Ila nahisi hawa watu wa kijijini wengi ndio wanawakadiria kwamba ndio wanaishi chini ya $1 per day
 
Hapo nyuma walipita kwenye makaa ya moto. Nyingine zilihamishia HQ Rwanda, Uganda and Zambia
Wakuu kuna kitu nimenotice naomba kujua why?

Kampuni Zilizoanzishwa Tanzania zikawa kubwa nowdays zimehamisha HQ Dubai yaani kama sielewi.

1. Mount Meru (Meru Oil)
2. Primefuel.

Mwenye elimu ya uchumi atusaidie.
 
Naafiki.
Unakuta muuza mitumba anabudget ya TZS 10,000 nyumbani kwake, on the other side kuna mtu kijijini ana heka moja tu, ng'ombe 2, mbuzi 3 na kuku 6. Hapo kwenye heka anavuna ndizi, mboga za majani za kila aina, matunda, mahindi, maharage, n.k ambapo mara nyingi akitoa pesa ni kununua nyama na viungo vya chakula.
Sasa hicho chakula anacholisha familia huyo bush man ukimuuzia muuza mitumba inawezakua zaidi ya 10,000 kwa milo yote ya siku.
Ila nahisi hawa watu wa kijijini wengi ndio wanawakadiria kwamba ndio wanaishi chini ya $1 per day
Kama ni survey watakuwa waki administer questionnaire na kuuliza how much they earn per day mkulma hapati hela kila siku ila matumizi yake yanaweza kuwa quantified na kujua anatumia sh npapi kwa siku na hivyo kuweza kujua income yake per day or per annum.
 
Haturuhusiwi kukosoa tunaruhusiwa kusifia Tu kaka, je mwanasheria unae??😂😂😂😂
🤣🤣🤣 kuna vitu havijakaa sawa kabisa,
Kauli Ilikuwa wafanya biadhara wasisumbuliwe ,leo hii lawama kwa TRA kuwa hawakusanyi kodi,

Siku zote usumbufu mkubwa wa mfanya biashara ni kumdai kodi, kama hutaki kumsumbua inabidi umuache wala usimfuatilie atalipa mwenyewe 😀😀
 
Back
Top Bottom